Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Wahindi watu wa ajabu sana anataka mimi niushushe box na kuziweka store, kwani me ni mfanyakazi wake, washenzi sana wahindi Dr am 4 real PhD
Ulichomokaje kwenye hii SCENARIO. Tupe ushuhudaaWahindi watu wa ajabu sana anataka mimi niushushe box na kuziweka store, kwani me ni mfanyakazi wake, washenzi sana wahindi Dr am 4 real PhD
Nilizishusha chini, nikatoa EFD na invoice nikampa, nikamwambia ushalipia akasema tyr, ntumie risiti akatuma nikamwambia good luck kwaherii,Ulichomokaje kwenye hii SCENARIO. Tupe ushuhudaa
Kweli uso huwa unazungumza kuliko maneno.Nilizishusha chini, nikatoa EFD na invoice nikampa, nikamwambia ushalipia akasema tyr, ntumie risiti akatuma nikamwambia good luck kwaherii,
Afu mm uso ndo unaozungumza sana na sio maneno 😂😂
Asante wakasema ngoja watfute watu au wawasubiri wafanyakazi wao walikuwa wametokaKweli uso huwa unazungumza kuliko maneno.
Pole mkuu.
Una misimamo kama CHE GUEVARA.Asante wakasema ngoja watfute watu au wawasubiri wafanyakazi wao walikuwa wametoka
SWADAKTA.. Siyo kwamba wanapenda kupelekesha wabongo asee... Hapo ni umaskini ulio nao ndo shida ,
. Ungekuwa na vibunda mngeongea lugha moja safi kabisa
Kuna kipindi fulani kampuni niliyoajiriwa kipindi hicho ilizengua tukaenda kusolve msala kwa client.KAma hujawahi kuona shetani, fanya kazi na Kaburu.
Yale Mazungu ya Afrika kusini ni takataka
WAMAREKANI HUWA NI KAMA KIBWAGIZO TENA BLACK AMERICANS WATAKUPA F*CK NYINGI SANAA🤣🤣🤣😆😅Kuna kipindi fulani kampuni niliyoajiriwa kipindi hicho ilizengua tukaenda kusolve msala kwa client.
Ebana huyu client alikuwa mzungu fulani hivi unga kwa sana, alitupa f**ck za kutosha ile boss wetu kupata taarifa naye ikambidi aje fasta ili kuokoa mkataba usivunjike(maana tatizo lilikuwa upande wetu). Ile kufika na yeye akapewa f**k mbele yetu na ukizingatia ni mzungu mwenzake.
Lijamaa likatutimua wote na boss wetu. Ilikuwa noma sana.
Ni mtu ambaye napenda kumheshimu kila mtu hata hapa jukwaani Ila ikatokea mtu ananiletea sikubaliani nalo,Una misimamo kama CHE GUEVARA.
Ni vyema kujiwekea standards & principal..Ni mtu ambaye napenda kumheshimu kila mtu hata hapa jukwaani Ila ikatokea mtu ananiletea sikubaliani nalo,
Naam nakumbuka kwenye kazi kipindi fulani hiviNi vyema kujiwekea standards & principal..
😁😁Hatari mkuu.WAMAREKANI HUWA NI KAMA KIBWAGIZO TENA BLACK AMERICANS WATAKUPA F*CK NYINGI SANAA🤣🤣🤣😆😅
sala gan.mim bos wang alikua wale wanaabud ngombe sasa camp hamna mboga zaid ya bamia na wanakula kitu kama mlenda ila sio huu wa kiswahil.bamia fung moja ila vitunguu kilo nzima. na anajamba ndan ya gar na hamruhusiw kushusha viooNilishawaambia hapa duniani waajiri ni wawili tuu. Mzungu na mjapan. Wengine wote tunafanya kwa sababu ya kuganga njaaa. Muajiri yee raha yake akuone muajiriwa unatahabika.
Alafu ndio utasikia tuanze kwa sala tufu ge kwa sala 🤣🤣🤣🤣
Mzungu na mjapan usikii ujinga wa sala wala nini lakini ndio wanajua kujali muajiriwa
Sasa yapo ma Australian kudadadeki ukiwa laini laini unaacha kazi. Ni mamtu yenye roho nzuri sana ila kwenye kazi mkizengua mnafokeana sana hapo na wewe lazima uwe kichwa mnafokeana wote. Tena linasogeza hadi pua yake usawa wa kama anataka kukupiga head ila mwisho wa siku mnasolve kazi inaenda na upendo unarejea hakuna kuchukiana, mkimaliza kazi marafiki ila kwenye kazi mnachenjiana kweli kweli kitu ambacho ukifanya na mbongo mchina au mhindi hapo mtachukiana muda wote.WAMAREKANI HUWA NI KAMA KIBWAGIZO TENA BLACK AMERICANS WATAKUPA F*CK NYINGI SANAA🤣🤣🤣😆😅
🤣🤣😅 Hapo kwenye kusogeza uso na pua kama anataka kukupigia head Umenikumbusha WWE mzee wa kuitwa TRIPLE HSasa yapo ma Australian kudadadeki ukiwa laini laini unaacha kazi. Ni mamtu yenye roho nzuri sana ila kwenye kazi mkizengua mnafokeana sana hapo na wewe lazima uwe kichwa mnafokeana wote. Tena linasogeza hadi pua yake usawa wa kama anataka kukupiga head ila mwisho wa siku mnasolve kazi inaenda na upendo unarejea hakuna kuchukiana, mkimaliza kazi marafiki ila kwenye kazi mnachenjiana kweli kweli kitu ambacho ukifanya na mbongo mchina au mhindi hapo mtachukiana muda wote.
Wahindi ndio ma CEO kwenye makampuni makubwa huko Marekani wako vyema kwenye Management, mnapenda ujinga ujinga wale hawana.Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Watanzania mnapenda ujinga ujinga uvivu na kuomba excuse zisizo isha, wahindu Dunia nzima hakuna anaye wakaribia kwenye swala la ManagementKumfanyia kazi Mhindi inatakiwa uwe zezeta, na usiwe na hasira za karibu.
Unaweza kuua Jitu
Mbona watu wanalipwa mishahara mikubwa sana huko inategemea na profesional yako hasa kama wewe ki Expert au la, Wahindi hawataki ujinga ujingaHahahahahaha....ni ngumu kushukuriwa na mhindi na wana mbinu Kali za unyonyaji....lakini kwenye CV siulandika kwamba I can work under pressure??? Hizo ndo zenyewe sasa.