Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kuna Jamaa ali tukanwa na muhindi tusi, naye aka rudisha lile lile.
muhindi si aka maindi Eti ana jifanya mkali, ali chezea mbata za chap na hamna mtu ali ingilia.
Eti kuja okoa Mimi, hii mtu taka toa mimi roho😂😆