Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana nimegundua haya

Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana nimegundua haya

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana.
Nimejifunza
Jinsi wanavyofanya kazi,
Jinsi wanavyotafuta Clients
Wanavotangaza huduma zao
wanavyowasilisha offer zao.
Meetings zao nyingi sana
Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani.

Wanafanya hivi 👇👇
Create an image of a gorilla holding a poster with the text 'How Agencies get clients' in bold...jpg


1. Cold Outreach
Kama unatumia x au linkedin na uko active kwenye kupost, utakuwa unapata dms nyingi sana za watu wa nje.

Aslilimia kubwa ya hao watu sio scammers ni agencies wanatafuta clients.

Zinatumwa meseji nyingi hata 1000 kwa siku, katika hizo hakosi mtu wa kumpa kazi
Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' Sending Cold Outreach' in bold, ...jpg


2. YouTube Marketing

Agencies nyingi nilizofanya nazo kazi zinatengeneza sana youtube videos kwa ajili ya kutafuta kazi na kuonesha kazi zao

Wanatengeneza video za kuelimisha How To Ila mwisho wanakuvutia kwenye huduma zao.

Kila agency ina youtube chanel kama portfolio zao
Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' YouTube Marketing' in bold, eye-...jpg

3. LinkedIn Outreach

Hii ndo the main method kwa agency zote.

Bosi wako ajaye yupo linkedin, nenda kule mtumie meseji mapema kabla hajatangaza nafasi za kazi

Kutuma dms, kupost contents, agencies nyingi zinakusanya clients huku

Kujifunza kutumia linkedin
Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' LinkedIn Outreach' in bold, eye-...jpg


4. Matangazo ya Kulipia (Meta Ads, google, n.k.)

Ukiingia youtube, au fb utalutana na matangazo mengi sana mengine yana webinar ya bure ili kukuvutia dm.

wana sales funnels, website, landing pages. zote hizo kazi ni kuvutia wateja waje kwenye hizi agency.


victoria agency matangazo.jpg



5. Email list

Wenzetu bado wana utaratibu wa kusoma emails, kwahiyo hizi agencies zinakuwa na emails nyingi kwa ajili ya kuwatumia offer na kutangaza huduma zao.

Email list ni sawa na sisi namba za whatsapp.

Agencies zinatumia sana kupata clients
Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' Email list' in bold, eye-catchin...jpg

Tanzania pia kuna agencies nyingi sana mojawapo ikiwa ni victoria agency ambayo inatoa huduma mbalimbali

ila zote zinatumia njia tatu kupata wateja.

1. Content
2. Matangazo
3. Outreach

Kama una changamoto yoyote ya kutafuta wateja kwenye biashara yako wa.me/+255693880325
 

Attachments

  • Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' LinkedIn Outreach' in bold, eye-...jpg
    Create an image of a gorilla holding a poster with the text ' LinkedIn Outreach' in bold, eye-...jpg
    141.5 KB · Views: 39
Back
Top Bottom