Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Vijana wa bavicha Hovyo kabisa yani wewe pamoja nakupewe fursa zote hizi za elimu na serikali lakini ndio unaongoza kuitukana serikali..uwe na adabu..
 
Teh Teh hakika Bavicha ni futuhi ina maana mara hii ben sio msaliti tena?

Ruta za siku,naona umeshamaliza kale kamgao ka ruge kule VIP(escrow),akina ruta,ruge,tiba kwa kutega hamjambo,sasa hako ka ACT si mtaka-escrownize muda si murefu wajameni
 
Kamanda nimefurahishwa kwa uamuzi wako. Naahidi kukupatia mchango japo wa kuchapisha hii makala yako ili wale wa vijijini- kuanzia Mrere hadi Rigicha kule mkoani Mara, wapate nakala. Naamini si wote wote wenye kupata huduma hii ya mawasiliano ya kisasa ya intaneti. Nanuia watambue dhamira yako njema ya kuwatumikia. Mungu akubariki sana.
 
Kamanda nimefurahishwa kwa uamuzi wako. Naahidi kukupatia mchango japo wa kuchapisha hii makala yako ili wale wa vijijini- kuanzia Mrere hadi Rigicha kule mkoani Mara, wapate nakala. Naamini si wote wote wenye kupata huduma hii ya mawasiliano ya kisasa ya intaneti. Nanuia watambue dhamira yako njema ya kuwatumikia. Mungu akubariki sana.

Asanteee twende bungeni na Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa bavicha Hovyo kabisa yani wewe pamoja nakupewe fursa zote hizi za elimu na serikali lakini ndio unaongoza kuitukana serikali..uwe na adabu..

Go back to school! Hujui chochote na ndio utamaduni wa maUVCCM huo.
 
Nenda dogo nendaa tutakupeleka sisi wote. Sitakusahau ulivyoanza kutuonyesha picha halisi ya wasaliti waliotaka kukiua chama chetu. Tutakupeleka mjengoni ukapambane na mafisi na wasaliti!!
 
Twende zetu wote na kura yangu ipo tayari kabatini inakusumbilia.


swissme
 
Hongera kwa uamuzi mzuri na makini;hata hivyo,binafsi ningefurahi sana kama ungewataja hao wabunge 10 uliowaona ni kama mfano wa kuigwa. Kufanya hivyo kutawapa wao moyo na kuwafanya wengine nao waongeze juhudi.

Hoja ya wabunge kutokulipwa mafao yao mara tu baada ya Bunge kuvujwa ni hoja ya msingi sana ila kwa siasa za nchi yetu nakushauri nenda nayo taratibu.

Pia,tambua tu kuwa ukifanikiwa ukipata ubunge wengi watataka kukupima kwa matendo yako na miongono mwa hoja ambayo watu watataka kuona utekelezaji wake ni hii hoja inayohusu mafao ya wabunge na hata hii thread ujue kuwa kuna watu watai-serve makusudi tu ili ije itumike kama reference siku zijazo.

Otherwise,all the best!
 
Duh kamanda kaza but nakukubal jamaa kuna makuku flan walisambaza habr za kichoko et Ben ahamia Act unafkin kule, Yan kaka nimefurah sana huwez amin kamanda Kill them boom like HIROSHIMA.
 
Heri iwe naye. . . . . Ila hapo katika elimu na tiba (yake na familia kama anayo) akipata ubunge nitamkumbusha ahadi hiyo!!!!
 
kila la heri mkuu, wana Rombo tunakuelewa na ww ketu ni maarufu na upo smart kuliko hata Ulivyo hapa JF. Chadema watende haki naamini utapita, wana Rombo tuna kusubiri kwa Hamu utuwakilishe.
 
Ben,hongera sana kwa uamuzi huu mzuri na makini;hata hivyo,binafsi, ningefurahi sana kama ungewataja hao wabunge 10 uliowaona ni kama mfano wa kuigwa.

Kufanya hivyo kutawapa wao moyo na kuwafanya wengine nao waongeze juhudi.

Hoja ya wabunge kutokulipwa mafao yao mara tu baada ya Bunge kuvujwa ni hoja ya msingi sana ila kwa siasa za nchi yetu nakushauri nenda nayo taratibu hasa wakati huu ambao bado unatafuta hiyo nafasi.

Pia,tambua tu kuwa ukifanikiwa kupata huo ubunge wengi(hasa wapinzani wako) watataka kuja kukupima kwa matendo yako na miongoni mwa hoja ambazo watataka kuona utekelezaji wake ni hii hoja inayohusu mafao ya wabunge na hata hii thread ujue kuwa kuna watu watai-serve makusudi tu ili ije itumike kama reference siku zijazo.

Otherwise,all the best!
 
Twende zetu wote na kura yangu ipo tayari kabatini inakusumbilia.


swissme


Ben....

wewe ni kijana makini.

elimu yako, mtazamo wako na nia yako inaelezwa na juhudi zako kujiendeleza wewe binafsi kwa ajili yako na taifa lako....

nilitaka kushangaa eti uingie ACT??? hapana ... ukiingia kwenye kinyanganyiro siku zote kuna kushinda au kutokutimia kwa kura.........kushindwa chaguzi zilizopita haina maana kuwa haupendwi.....na si kwamba huna mchango...au si kwamba system imekutema..... ni muda tu haujafika...

watu wengi wenye jitihada kama wewe wanahitajika....tunajua yuko selasini kule rombo...na kimbunga cha rombo kila mtu anakijua......hasa kwenye chaguzi za serekali za mitaa juzi.... na mwamko mkubwa wa kisiasa.....lakini HII HAINA MAANA USIINGIZE JINA....na hata akibakia kuwa yeye kwa kura za maoni..haina maana kuwa ndio mwisho wako kisiasa...

naamini kabisa chadema, ukawa na tanzania kwa ujumla bado inahitaji elimu yako na ujuzi wako....wewe sio kama wale AJIRA SIASA.......

hata kura zisipotosha sasa.....

kama ni pesa elimu yako itakupa pesa hadi uchanganyikiwe....wewe maliza shule halafu ingia front....

utagombaniwa tuuu....na kisha unawezza kukisaiidia chama na taifa kwa namna bora zaidi...

kuna umoja wa mataifa kuna international forums na platforms...na mashirika....

kila sehemu tunalaumiwa watanzania hatutafuti fursa.....

nashukuru nimekufahamu leo...

wewe sio kama wale wachumia tumbo....wewe ni mchumia kichwani.....

siasa kwako haiwezi kabisa kuwa ajira...

watanzania tunataka tutoke huko...siasa isiwe ajira....bali tu huduma ya uongozi kwa umma...

uchaguzi ukiisha wote tunarudi kwenye ajira zetu na profession yetu..

maana watanzania tumekalia siasa na siasa...

kwani siasa ina sehemu gani kwa GDP ya taifa??

waachie wachumia tumbo wahangaike....

wewe chapa raba......wewe ni mweledi..

hongera sana Sanane...Mungu mbariki Sanane, Mungu ibariki Tanzania
 
Mi nilisema tangu mwanzo ben maamuzi atakayofanya ni kutangaza kugombea kupitia cdm, wapuuzi wakaja na hadithi za uongo
 
Back
Top Bottom