Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
+ man biznes
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kuna thread ukiziona unajua tu huyu ni Bei Elekezi
Ukilinganisha na pisi nadhani ilikuwa fair kabisaHapo uliliwa sana
Wale Wana sura za kazi na akili kuuubwa, utawawezea wapi mwenzangu na mie?Hivi hakuna aliewatafuna wale mashahidi wa yehova maana nao walikuaga wanapita mitaani na kugonga kila nyumba
Hehehewale Wana sura za kazi na akili kuuubwa, utawawezea wapi mwenzangu na mie?
Daa mwenye mke anaweza fungua codes kabisa kwa maelezo haya.Miaka ya nyuma kuna jamaa wanajiita Forever Living waliteka wimbi kubwa la vijana waliokuwa wakitaka utajiri wa haraka, miongoni mwa waliojiunga ni mwanadada J, mrembo kweli kweli mwenye dimpoz na ka mwanya, kiuno chake chembambaaa.
Umebadili jina kenge wewe😂😂+ man biznes
[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha njaa kijana…70k kitu gani bana?Ndani ya siku mbili umeshaliwa elfu 70 kiboya sana alafu eti unashangilia ulimla!!!!!
Labda akiwa mdau wa MMUDaa mwenye mke anaweza fungua codes kabisa kwa maelezo haya.
Najaribu kushare uzoefu wangu kwenye field hii.Bei Elekezi umeshika hatamu this time kwenye nyuzi
Chai hazina haja codesDaa mwenye mke anaweza fungua codes kabisa kwa maelezo haya.
Usije kuua mtu huko, sio mke wako ni mwingine tu.Hiyo pisi ilikua nyeupe!!?
Ndani ya siku mbili umeshaliwa elfu 70 kiboya sana alafu eti unashangilia ulimla!!!!!
Npo tuonane pm kiongoziKiongozi upo