Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
[emoji95] Shikamoo Mkuu!
Hiyo ndo raha ya kua na boss wa kike mnasaidiana kwa vingi.
Soon utapanda cheo Hakika nakwambia[emoji1787]
 
Mkuu kazini inatakiwa uwe kondoo haswa Kwa huyo manzi , la sivyo kibarua kitaota violencely
Yaani inabidi awe makini sana na movement zake hasa urafiki na wanawake wengine hapo kazini. Kifupi ni kwamba amejipa kifungo bila mwenyewe kujua soon ataanza kupangiwa nini cha kufanya, aongee na nani, asiende wapi na nakadhalika na akienda kinyume na matakwa ya boss itakula kwake. Huku mume wa boss naye akinusa harufu ya kuibia naye ataanzisha vita yake 😆
 
Noma sana mkuu ukishamkaribisha tu kwenye nyama choma na bia, akaja basi amekwisha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Huwa wao wanawaza kuwa wakisaidiwa lazima walipe fadhila
 
Wewe jana si ulisema ulikua Dodoma,ukaingia gesti na demu?

Jana hio hio tena unasema ni katibu wa kamati 😆😆😆😆😆😆😆

Mbona nyuzi zako km unatudanganya hivi 🤣🤣🤣
 

Daa umekula Boss kimasihara sana
 
Mke wako amejua kuwa jana umezini na boss wako subiri uone,na mume wa boss akija kukuwekea bastola chini ya kiuno uje useme pia.
 
Hii ni kama kimasihara ya rikiboy[emoji16]
 
Ni mwiko kabisa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi sehemu ambayo unafanya kazi masaa zaidi ya 6.
Kama ni kweli umefanya hivi BELIEVE ME, itakugharimu na kuna siku utajuta kwanini ulifanya hivi.
Usipandishe wala usishushe heshima ya kila mmoja wenu.
 
Ungeuhamishia kule ulishawahi kula tunda kimasihara..ingependeza sana
 
Duh punguza sukar
 
Kuna wenye watakuja kusema kuwa umejiona mjanja wakati kuna ukimwi mtaani
 
Oohoo umekitia mchanga kibarua chako wewe mwenyewe kwa nyege zamuda mfupi
 
Uyu ana stori za kutunga kama mpwayungu village...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…