Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Ngosha the Don
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajazitaja popote.zana ulikumbuka kwelii?
Huyu mjumbe aliyeleta mada atakuwa bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 la si hivyo atajutia sana hilo boko alilotoa.Ni mwiko kabisa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi sehemu ambayo unafanya kazi masaa zaidi ya 6.
Kama ni kweli umefanya hivi BELIEVE ME, itakugharimu na kuna siku utajuta kwanini ulifanya hivi.
Nilichogundua,Hiini kimasihara, ila bwana siku hizi watu wanalana kirahisi mno.
[emoji38][emoji38]ha ha ha...Boss siku zote yuko juu ya wafanyakazi wake. Hujafanya mapenzi na boss wako ila BOSS WAKO KAFANYA MAPENZI NA WEWE. Boss kakutumia na mshahara ule ule wa ofisi na mbali na kuwa mwanaume umeliwa na boss [emoji51]
🙂
Ulimbukeni tu huo unakusumbua...mbususu aziishagiTafuta pesa ufurahie watoto wazuri, we endelea kuzunguka na bahasha utaishia kula kwa macho
Acha kumtisha mwenzakoKuna siku utarudi na uzi wa kujutia kutembea na boss wako..akikuona umekaa na mfanyakazi mpya tu barua ya onyo utajutaaaa[emoji3][emoji3]
Umemalizia vizuri sana wee bwege [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dahh nakuonea wivu mamaeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni age ya baba yako kijana.Huyu mjumbe aliyeleta mada atakuwa bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 la si hivyo atajutia sana hilo boko alilotoa.
Siku zote kaa mbali kabisa na wanawake unaofanya nao kazi hata kama mnafanya kazi online. Mahusiano yenu yawe professional tu.
It is so funny to see people improving for everyone but themselves. You make good points, but this? This is not the happiness we should be chasing. Why focus on being great for the opposite sex, if I can be the best me for myself? Then I do not need to concern myself with themSex is overrated Ila kwa bongo sex ni kitu kikubwa Sana, sex ni kama Kula chakula Tu naweza sex na Mtu ila simpendi ndo maana after sex tusitafutane tena sio kitu kikubwa ki hivyo
My friend human beings in nature are selfishness within,just take time and explore God's creativityIt is so funny to see people improving for everyone but themselves. You make good points, but this? This is not the happiness we should be chasing. Why focus on being great for the opposite sex, if I can be the best me for myself? Then I do not need to concern myself with them
Yanini sasa, nilitaka kumpa raha mpaka achanganyikiwe.Aisee ulikumbuka kondom lakini mkuu