Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa kimachame ww nini?[emoji2] [emoji2]Mijanaume hovyo kama hii huwa naieekea sumu tu ife
Cha msingi tuwaruhusu weekends wakatembee tembee kidogo kabla hawajaanza kujisugua kwenye ncha za sofa kama kale kengine.Wanandoa tujiheshimu katika ndoa zetu hao wadada tuwafanye kama dada/wadogo zetu. kutembea nao ni kuwapotezea malengo yao
Duh ,, wee mjamaa bado tu hujaacha tabia yko ya kuchapa ma house girl?Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.
Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee.
Hivi karibuni ataanza kudai haki ya kupata mimba.. we subiri tuWadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.
Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee.
Tunaendelea fresh. Nimempangia vyumba viwili KimaraVipi maendeleo?
Blessings huyu ninayemjua karogwa sio bure!we blessings umerogwa? yaani umeenda kumgegeda housegirl kweli? mbona haiingii akilini ndugu yangu ndo tama au?