bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
Kwanza mnatumia avatar zenu vibaya, hivi unapotumia jina hilo la umebarikiwa halafu matendo yako si mazuri, unaona wewe mjana ja sana ehee.....Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.
Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee.