Ongea na mke wako amuondoe bila hivyo utaivuruga hiyo ndoa si muda na vingi Sasa Hivi ni vichawi,
Hata hili swala la Ndoa nyingi kuwa na migogoro na maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu,
Wasichana wa kazi nao ni tatizo vimekuwa vichawi sana.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.