Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

kapime ila pamoja na hayo mtu aliyepo kwenye dozi risk ya kuambukiza ni ndogo sana about 20 percent. ila kapime utapata jibu la uhakika
 
Kwa sasa usijitie na vipresha vya ajabu koz hofu mbaya sana itashusha kinga za mwili kwa hzo stress kikubwa toa hofu kapime then penda kufanya protected sex ikishindakana njoo upadre huku nkusajili [HASHTAG]#over[/HASHTAG]
 
Mkuu kwenye mechi ulitembea na speed ya bombardier au fastjet? Kama ni bombardier huenda ukawa umesalimika.
 
ndo bas tena..yaani hapo tayari..tayaaari..trust me tayaari
 
Mi mwenyewe nimelala na muathirika wa grid ya taifa bila kujua nasubii miezi mitatu minne nikapime.eeeh mungu nisaidie nikutwe -ve
 
Daah, pole sana bt nahc njia sahihi ya kujua n vipimo tu maana hatujui n jins gani ulipga mzigo.
 
Uliingiza ukatoa.. Au ulit*mba mazima...
So anyway.. Nenda kapime your health but kuanzia leo jenga urafiki na Condom.. Naamin ukifanya hvyo uzee utaufikia
 
Well kama haikuwepo michubuano na alikua yupo ktk dozi kwa muda mrefu , basi waweza kua salama.

Unless km kuna mambo mengine mliyafanya.
 
Wanafunzi wangu wa drs la 4 wanaweza kujibu swali lako..Lengo lako ni kuanzisha thread au la???Hakuna sh yahaya hapa na duniani wa kukupa jibu kwa kubahatisha.
Nenda hospital kafanye blood screening. Hauwezi kujua kwa kumtazama mtu kwa macho.
 
Katika tafiti nilosoma. Mwanamke anaweza kuwa na hiv na akatembea na watu 11 akapata mmoja.
Nilisoma sana kuhusu aids kwa kujifikiria nipepata. Na madhara ya kisaikolojia ni mabaya sana .unaweza kufa kwa kihoro.
Dawa kupima na kama ulivyo sema chances ni ndogo sana .Ingawa hata kama percent 1 inaweza kukosesha usingizi.
Sitaki hata kuyakumbuka mateso ya kisaikolojia yalonifika. Mpka sasa hunambiii kuhusu kutembea hata na condom .siziamini
 
Na kila nafsi utaonja mauti.Mtoto anazaliwa leo baada ya Massa anaaga dunia dhambi kaipata/kaifanya SAA ngapi????
Kuwa serious mkuu,mauti inayozungumziwa hapa siyo ile kufa ya kila siku tunayoijua!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…