Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apo ndio utajua umuhimu wa chaputa.. Umeukwaa c mnajifanyaga vibolodinda
Nazionea huruma mbavu zangu....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Apo ndio utajua umuhimu wa chaputa.. Umeukwaa c mnajifanyaga vibolodinda
Watu hawana utu,wanadhani wao wapo salama kumbe bado Safar inaendelea[emoji28] [emoji28] [emoji28] mbona unamtisha mwenzako
Na kila nafsi utaonja mauti.Mtoto anazaliwa leo baada ya Massa anaaga dunia dhambi kaipata/kaifanya SAA ngapi????Warumi 6:23........mshahara wa dhambi ni mauti![emoji53][emoji53][emoji53]
Kuwa serious mkuu,mauti inayozungumziwa hapa siyo ile kufa ya kila siku tunayoijua!![emoji23][emoji23][emoji23]Na kila nafsi utaonja mauti.Mtoto anazaliwa leo baada ya Massa anaaga dunia dhambi kaipata/kaifanya SAA ngapi????