Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

Na ukifanya sana ngono kama alivyofanya nayo unapata madhara papo hapo..kama hivyo mchizi kaungua tayari..ndio basi tena
We mjamaa ww unanichekesha sna aisee

Any way kuna rafk yangu alilala na dem ambaye ni muathirika miez mitatu na hakupata hiv so usimtishe muhimu akapime bas
 
Apewe sifa aliegundua chaputa,..maana imenitoa mbal na imenifikisha mbali,leo hii nna afya tele,elim nzur na maendeleo.na napiga show kwa umakin mkubwa na mashine ikiwa yenye afya na ukubwa uliotukuka.kujifanya mpangazuna sasa umeukwaa.chaputa in the air
 
Kama Umekatwa Govi utakua na 49% kuwa umepata HIv.

Kama Unagovi utakua na 78% ya kuwa na HIV
 
Ungeendelea kupiga kitu mzee kufa kupo tu usiwe muoga
 
Pole mkuu ,,SKU nyingne usrudie kosa ,, kama ulvyoambiwa SBR 3 miez ipite kacheki
 
Ndio
 
Apo ndio utajua umuhimu wa chaputa.. Umeukwaa c mnajifanyaga vibolodinda
Mkuu sio fresh kumsema hivi mtu ambae tayari alishakosea na yupo ktk msongo wa mawazo anaweza kujidhuru bure. Mshauri nini afanye kupunguza madhara au kujiokoa kwani anaweza kuwa bado haja ambukizwa.
 
Mkuu sio fresh kumsema hivi mtu ambae tayari alishakosea na yupo ktk msongo wa mawazo anaweza kujidhuru bure. Mshauri nini afanye kupunguza madhara au kujiokoa kwani anaweza kuwa bado haja ambukizwa.
Yah sure sure ni kweli...namshauri akapime awe na uhakika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…