colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
We mjamaa ww unanichekesha sna aiseeNa ukifanya sana ngono kama alivyofanya nayo unapata madhara papo hapo..kama hivyo mchizi kaungua tayari..ndio basi tena
Any way kuna rafk yangu alilala na dem ambaye ni muathirika miez mitatu na hakupata hiv so usimtishe muhimu akapime bas