Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia Wanaume wenye Pesa ( Kipato ) ambao ndiyo 'wamewajeruhi' sana Kimahusiano.

Je, GENTAMYCINE kwa Utafiti wangu huu Binafsi nami nimepatia ( nimeupiga mwingi ) kama Siku 100 za Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan au niendelee Kufanya Utafiti zaidi ili pengine niyajue na mengineyo?

Poleni sana 'Wanawake' wa Umri tajwa.
 
Fanya kuanzia 30....maana mwanamke akishafika 30 sio binti tena, anahitaji awe na mtoto/watoto na mume wa kueleweka......ikifikia hapo hana ivo vitu mgogoro wa nafsi haukosi na anateseka kweli kweli ingawa nje atakuwa anajitahidi kuwa sawa
 
35 Umeenda mbali sana mkuu, kuanzia 30 tu wanaanzaga kuteseka. Kuamini process sio jambo rahisi wengi wana wanatakaga matokeo ya kufumba na kufumbua, mambo ya process sio ishu yao na ndo maana wengi huamua kutafuta mwana na kuzaa basi wanaendelea kulea....... usingo maza
 
Back
Top Bottom