Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

35 Umeenda mbali sana mkuu, kuanzia 30 tu wanaanzaga kuteseka. Kuamini process sio jambo rahisi wengi wana wanatakaga matokeo ya kufumba na kufumbua, mambo ya process sio ishu yao na ndo maana wengi huamua kutafuta mwana na kuzaa basi wanaendelea kulea....... usingo maza
Ndio maana rate ya single mothers ipo juu sana.
 
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia Wanaume wenye Pesa ( Kipato ) ambao ndiyo 'wamewajeruhi' sana Kimahusiano.

Je, GENTAMYCINE kwa Utafiti wangu huu Binafsi nami nimepatia ( nimeupiga mwingi ) kama Siku 100 za Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan au niendelee Kufanya Utafiti zaidi ili pengine niyajue na mengineyo?

Poleni sana 'Wanawake' wa Umri tajwa.
Rudisha kuanzia 30 na ndio wanaongoza kwa kutumia ndumba yani ukizubaa umekuwa ndondocha..
 
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia Wanaume wenye Pesa ( Kipato ) ambao ndiyo 'wamewajeruhi' sana Kimahusiano.

Je, GENTAMYCINE kwa Utafiti wangu huu Binafsi nami nimepatia ( nimeupiga mwingi ) kama Siku 100 za Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan au niendelee Kufanya Utafiti zaidi ili pengine niyajue na mengineyo?

Poleni sana 'Wanawake' wa Umri tajwa.
hiyo scenario inatwa "hitting the wall" . nahii inawakuta kuanzia 30yrs. enzi za ujana wao wakiwa kweye 20s huenda walikutana na potential husbands material..
ila kwa vile mambo mengi.. umri na attention.. wakaona hawana maana..waponde raha.

wanavyofika 30s na kuendelea ile attention inapotea.. wanaanza kushtuka probably kukumbuka waliwatupa wanaowahitaji..
sasa age imeenda hao watu hawawitaji tena.

hiyo issue ni common sana kwa kizazi cha sasa
 
Nimecheka sana kwakuwa umesema Ukweli wote na Binafsi ni Mhanga wa Kukoswakoswa 'Kurogwa' na Wanawake Wawili ambapo walichokuwa hawakijui tu ni kuwa hata Mimi pia ni 'Mrogaji' vile vile tena Kuwazidi ( Nawazidi )
😂😂😂😂😂😂 we jamaa hii bangi itakuwa ya Masaki ile
 
Back
Top Bottom