Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Aiko daz wacha niishi nae 🤓
Pambania kombe mkuu afu mtoto ashasema ni mchapa kazi na wewe unaliaga kupata wife matirio 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiko daz wacha niishi nae 🤓
Pambania kombe mkuu afu mtoto ashasema ni mchapa kazi na wewe unaliaga kupata wife matirio 😅😅
Ticha kama tichaHuyu mtoto walahi anakuelewa mno sema hujui mkuu she is a teacher you know how they are capable of expressing.🤟🤟😂😂 Ukitia neno naye yupo nyuma daaah ubini huu jombaa
Yaani chalii yangu nyooka DM mi najua kesha au usha kutana DMTicha kama ticha
Dah kwamba katua zigo la lawama [emoji3]Yeah demu akiolewa anakuwa katua mzigo wa lawama tu kwenye jamii, so whatever she decides after marriage anaona ni fair
Uko makini mkuu, ila ukorofi huo
Ndo nanyooka nae ,sema mipango haikai sawa anazingua kidogo huyu kijanaYaani chalii yangu nyooka DM mi najua kesha au usha kutana DM
We jamaa fala sana aha hahahaha nimecheka sanaNa hao ukiwaumiza probability ya kukuloga ni 89%.
Mwambie bahati haiji mara mbili mbili, aache umjini eti anasema hana pesa 😅 kwani pesa kitu gani bhana.Ndo nanyooka nae ,sema mipango haikai sawa anazingua kidogo huyu kijana
Alafu mi niiteni siku ya harusi au ndoa nije nitie neno au hata niwe mshenga.Uko makini mkuu,ila ukorofi huo
Sawa, ngoja nimteme jamaa niliyenae kwanzaAlafu mi niiteni siku ya harusi au ndoa nije nitie neno au hata niwe mshenga.
Ndo hapo, afu kumwagiana na pesa ni vitu viwili tofautiMwambie bahati haiji mara mbili mbili, aache umjini eti anasema hana pesa 😅 kwani pesa kitu gani bhana.
Yaaani tofauti kabisa.Ndo hapo,afu kumwagiana na pesa ni vitu viwili tofauti
Kumbe unauliyenaye 😳😳😳Sawa,ngoja nimteme jamaa niliyenae kwanza
Nimeolewa mkuuKumbe unauliyenaye 😳😳😳
UmeonaYaaani tofauti kabisa.
Mbongo bhn [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Na hao ukiwaumiza probability ya kukuloga ni 89%.
Kaa njia kuuNimeolewa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hao ukiwaumiza probability ya kukuloga ni 89%.