Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

Hahaha ushatoa gundu eeh
Kitambo mkuu, nimenawa mikono.Ila kama unataka mwanamke wa kudumu nae ndoani akupende kwanza yeye au aonyeshe ishara kwamba anakupenda kisha umtongoze. Lakini ukioa ulianza wewe kubembembeleza hadi kumnunulia pipi,andaz, biskuti sijui ndo akakukubali au umwonyeshe ulivyonavyo ndo akubali.U WILL REGRET ...I TELL U
 
Kitambo mkuu,nimenawa mikono.Ila kama unataka mwanamke wa kudumu nae ndoani akupende kwanza yeye au aonyeshe ishara kwamba anakupenda kisha umtongoze.Lakini ukioa ulianza wewe kubembembeleza hadi kumnunulia pipi,andaz,biskuti sijui ndo akakukubali au umwonyeshe ulivyonavyo ndo akubali.U WILL REGRET ...I TELL U
Wewe ulimpenda lakini au ndio alikudanganya na pipi na jojo ndio ukampenda😂😂😂?

Mie kimsingi sio mwanamke ambaye najua 100% mie ndio nampenda! Hilo kosa silifanyi ng’oo...Kama huyu anayenipenda atanikimbia basi famililahi 😂
 
Ulivyomkorofi ivi ndo utaoa kweli wewe!,sijui
 
Mi saivi ndo anajua that kumbe alitumia nguvu,but kibishi tunasonga maana aliniheshimisha.
Dah kwahilo tu hio situation lazma iko rough now! Mie ndio maana nataka nipendwe kama nilivyo now sihitaji slayqueen on my lane nitaoa wifematirio wa kawaida 😅
 
Dah kwahilo tu hio situation lazma iko rough now! Mie ndio maana nataka nipendwe kama nilivyo now sihitaji slayqueen on my lane nitaoa wifematirio wa kawaida 😅
Slayqueen uwe na mkwanja ambao utamwezesha hata kuzaa asizae kwa uchungu mkuu.Yaan awepo ndani kama picture kaz yake ni kutuma na kuita tu....sikuhiyo akiamua kupika bas anataka kupost insta "wife material" wenzake waone waumie.Niliyezaa nae mtoto wa kwanza alikuja gundua kua aliruka majivu na kukanyaga moto hata kunyoshewa shati anasikia redioni maana aliyemchagua badala yangu ni slayqueen tena mrembo matata akaona huyu mwalimu wa nn,tena kipindi hicho nilikuwa nakaa kota nafuga kuku kienyeji,sungura na simbilisi.Naona akaona huyu ngoja numnyooshe na hizo simbilisi zake
 
Hahahah ukorofi bibie itabidi azoe tu. Tuombe uzima yani dah nataman nioe asap maana age inaruhusu ila mkwanja ndio haujawa mstari vile nataka! Inanipa reasonable doubts!
Zitaongezeka ukioa mkuu, huwa mood ya kutafuta zaidi inaongezeka
 
Slayqueen uwe na mkwanja ambao utamwezesha hata kuzaa asizae kwa uchungu mkuu.Yaan awepo ndani kama picture kaz yake ni kutuma na kuita tu....sikuhiyo akiamua kupika bas anataka kupost insta "wife material" wenzake waone waumie.Niliyezaa nae mtoto wa kwanza alikuja gundua kua aliruka majivu na kukanyaga moto hata kunyoshewa shati anasikia redioni maana aliyemchagua badala yangu ni slayqueen tena mrembo matata akaona huyu mwalimu wa nn,tena kipindi hicho nilikuwa nakaa kota nafuga kuku kienyeji,sungura na simbilisi.Naona akaona huyu ngoja numnyooshe na hizo simbilisi zake
Alijichanganya vibaya, alitaka akukomeshe uone kachugua goma la 5 star 😅😅😅 ila sie tunakuwaga na ujinga sana sometimes! Mwanamke hakupikii, hafui, hapigi pasi yet utaita una mke hapo!

Ukiwa na hela unaweza kamata pisi yeyote ya nyota tano ila sasa itatakiwa utumie pesa throughout ili kuweza kukeep na standards za huyo slay queen! Ukitetereka kiuchumi tu hesabu una msiba 😂😂😂
 
Ndo ivi,sema ndoa za sikuhizi Nazi ni changamoto sana kukutana mmeshabihiana kwa kila kitu ni nadra sana.Na kwa kuwa hatuna uvumilivu kama wazazi wa zaman.
 
Umeshaingia cha kike mzee. Hao watu wako desperate sana ni wa kuchez nao vizuri.
Hebu nipe akili nifanyaje mkuu. Maana niliwahi kudate naye wakati yuko chuo, mambo yakaingilia hapo kati tukapotezana kidogo. kumbe akaja kuzaa na jamaa mmoja ambaye alimdanganya. baadaye dem akaja kujua kuwa jamaa ana mke, ikawa tafrani. Akanitafuta analia kila wakati basi nikawa nampeti peti. Uzuri yeye alijua tangu siku ya kwanza kuwa nina familia.

Tukazama upya katika mapenzi kwa mara ya pili mwaka jana kanizalia mtoto, na issue yenyewe ilikuwa kimasihara masihara aisee wee acha tuu hadi kichwa kinauma. siku tumekutana akasema hayuko danger days so hata nikimwaga ndani haina shida. tumekaa kidogo naletewa majibu. niliparuana naye sana baadaye nikasema nitajua tu kama umenisakizia. mtoto amezaliwa copy right yangu haihitaji hata kuuliza. nimeishiwa pozi.
 
Ndo ivi,sema ndoa za sikuhizi Nazi ni changamoto sana kukutana mmeshabihiana kwa kila kitu ni nadra sana.Na kwa kuwa hatuna uvumilivu kama wazazi wa zaman.
Kushahibiana kwa calibre inarahisisha process ya kuvumiliana sana! Ila mambo magumu sana kwa kuwa hamna uvumilivu yani sikuhizi😀😀😀 hatutaki kukubaliana na uhalisia wa maisha. Mpenzi anakuwa mtu wa kukutupia lawama on everything that doesnt work well
 
hebu nipe akili nifanyaje mkuu. Maana niliwahi kudate naye wakati yuko chuo, mambo yakaingilia hapo kati tukapotezana kidogo. kumbe akaja kuzaa na jamaa mmoja ambaye alimdanganya. baadaye dem akaja kujua kuwa jamaa ana mke, ikawa tafrani. Akanitafuta analia kila wakati basi nikawa nampeti peti. Uzuri yeye alijua tangu siku ya kwanza kuwa nina familia. tukazama upya katika mapenzi kwa mara ya pili mwaka jana kanizalia mtoto, na issue yenyewe ilikuwa kimasihara masihara aisee wee acha tuu hadi kichwa kinauma. siku tumekutana akasema hayuko danger days so hata nikimwaga ndani haina shida. tumekaa kidogo naletewa majibu. niliparuana naye sana baadaye nikasema nitajua tu kama umenisakizia. mtoto amezaliwa copy right yangu haihitaji hata kuuliza. nimeishiwa pozi.
Kwahio alivyokuongopea yupo safe ukamimina moto 😂😂😂
 
Back
Top Bottom