cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kabisaaah.Sasa mwanamke wa miaka 49 ateswe na mapenzi kwanini? Huyo atakuwa bado ana akili za kitoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaah.Sasa mwanamke wa miaka 49 ateswe na mapenzi kwanini? Huyo atakuwa bado ana akili za kitoto.
Na 2030 ratio ni mwanaume 1 kwa wanawake 15. Kazi mnayo wanawake. Mzichague sana stock n chacheNimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia Wanaume wenye Pesa ( Kipato ) ambao ndiyo 'wamewajeruhi' sana Kimahusiano.
Je, GENTAMYCINE kwa Utafiti wangu huu Binafsi nami nimepatia ( nimeupiga mwingi ) kama Siku 100 za Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan au niendelee Kufanya Utafiti zaidi ili pengine niyajue na mengineyo?
Poleni sana 'Wanawake' wa Umri tajwa.
Ndo nawaza iwejeiweje yaanKaa njia kuu
Ridhika nazoNdo nawaza iwejeiweje yaan
Asante kwa ushauriRidhika nazo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119] we jamaa...Kwahio alivyokuongopea yupo safe ukamimina moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeupiga mwingi sanaNimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia Wanaume wenye Pesa ( Kipato ) ambao ndiyo 'wamewajeruhi' sana Kimahusiano.