mousthustle
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 314
- 197
wewe shujaa😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndogo hiyo mkuu?Dah mwanangu seneta umezingua sana aisee mia nne tu kwani ni tatzo?
Huyo nae boya,kumlipia mtu sh 600 kuna ubaya gani?Nili kumiss sana Seneta Wa Mtwiz
Kwani ni lazima?kwa sheria ipi?Aibu kwa mwanaume just 400 tu mpaka uombwe? Sasa namba ya nini
Nani?????Imagine umejusachi ukakuta pochi yenye nauli uliisahau nyumbani, then unashtuka na kusema doooh nimesahau pochi hom basi yeye bila kusita anasema haina shida nitalipa kisha anakupa 5000 na kukuambia ni ya kurudia.
Wewe uliyeshindwa kumlipia mwenzio nauli kisa unataka alipe.Nani?????
Vigumu sana...usawa huu bongo mkuu?atoe NOTI ya buku 5?!Wewe uliyeshindwa kumlipia mwenzio nauli kisa unataka alipe.
Tatizo ni umasikini ila kibinadamu umekosea sana. Sio kwamba alikua anataka umlipie ila ni utamaduni tuliojijengea. Sasa umeshindwa kulipa 400 gesti utaweza lipia?Vigumu sana...usawa huu bongo mkuu?atoe NOTI ya buku 5?!
Jamaa kashindwa kumlipia 400 tu halafu bado alitegemea atapewa namba.Tatizo ni umasikini ila kibinadamu umekosea sana. Sio kwamba alikua anataka umlipie ila ni utamaduni tuliojijengea. Sasa umeshindwa kulipa 400 gesti utaweza lipia?
cc:seneta wa MtwizTatizo ni umasikini ila kibinadamu umekosea sana. Sio kwamba alikua anataka umlipie ila ni utamaduni tuliojijengea. Sasa umeshindwa kulipa 400 gesti utaweza lipia?
Yeye mbona alitoa simu aandikiwe namba?Jamaa kashindwa kumlipia 400 tu halafu bado alitegemea atapewa namba.
Umeshakuwa wa dar?Tungo yako Ni nzuri mkuu,endelea ivo ivo..