Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna biashara zinazohusiana na mapenzi na ngoma mkuumikoa ya wafanya biashara hiyo,wamezaliwa wanajikuta humo na wanakua wakiwa humo
Tofaut na sisi tuliozaliwa tanga tunafundshwa mapenzi ,tunachezeshwa ngoma
Hii imeniuma sana
Mbona wametajwa boss?Umejuaje mkuu, majina yao wote unayo??!.
Hivi una vinasaba na johnthebaptist ?Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
Zipi hixo ?Kuna biashara zinazohusiana na mapenzi na ngoma mkuu
Tehetehe! Yule wa Iringa aliyeongeaga na Nyerere?Hivi una vinasaba na johnthebaptist ?
Wakinga hawatoki Iringa 😂😂Hivi una vinasaba na johnthebaptist ?
Huyu wa JFTehetehe! Yule wa Iringa aliyeongeaga na Nyerere?
Na style nzuri za kutongoza wanawake..!mikoa ya wafanya biashara hiyo,wamezaliwa wanajikuta humo na wanakua wakiwa humo
Tofaut na sisi tuliozaliwa tanga tunafundshwa mapenzi ,tunachezeshwa ngoma
Hii imeniuma sana