Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

Kwahiyo waliokufa wote ni wafanyabiashara na hamna Mteja hata mmoja aliyekufa? Au wateja nao wanatoka mikoa hiyo tajwa?
 
Ni jengo TU lakini kariakoo imejaza wahindi waarabu wasukuma wapemba na wote hao sijawaona kwenye list
Lakini ni kweli kuwa wachaga na wakinga kwa Sasa wameiteka kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…