Aipokuelewa achapwe viboko 10mikoa ya wafanya biashara hiyo,wamezaliwa wanajikuta humo na wanakua wakiwa humo
Tofaut na sisi tuliozaliwa tanga tunafundshwa mapenzi ,tunachezeshwa ngoma
Hii imeniuma sana
Hiyo ndio mikoa ya wafanyabiashara wakubwaHili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
Ndoto za mende hizi kuangusha kabati ale makombošNdio, anasema yeye wa zamani sana, na Nyerere alimuomba ushauri kuhusu na nani awe mbunge wa Iringa
Kariakoo pabaya sana acha tu watu wa hiyo mikoa wahangaike wenyewe wengine wafanye mambo mengine.Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
Nani alikudanganya? Biashara kubwa sio maduka tu kariakoo! Kuna biashara ya mazao,Madini ,Utalii nkHiyo ndio mikoa ya wafanyabiashara wakubwa