Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Karibu kwenye chama cha wastaafu mkuu.
Tumrudie muumba uzinzi/uasherati haulipi
 
Bora umeshituka mzee, mabalaa mengine tunajitafutia.

Mie huwa naanza kuwaza mama yangu, mke wangu kisha wanangu, hapo bado nina mdugu wananitizama, toka nioe mpaka sasa sijachepuka(sio kwamba sitamani la hasha, kuna kitu nimegundua, wanaume haswa hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja[emoji23]) ila ndio inabidi nijikaze to the maximum, naiwaza hii laki moja nikimpa mama mzazi 50k waifu nikamganjia 30(haijalishi kkila kitu kipo ndani, lakini hii 30 nimafnyie chochote hata kama ni kumchukulia zawadi), halafu mama mkwe aliyenizalia huyu mtoto mzuri nikampa hata 20.

Sasa hii RESISTANCE kwa huyu ibilisi itadumu mpaka lini.. maana ninajikaza [emoji23][emoji1787]
Hii yote inasababishwa kwa kuwa na mbavu ndogo!! Ungekuwa na mbavu nene unatekeleza majukumu yako vizuri kabisa. Hakuna upande utalalamika. Ongeza bidii katika kusaka noti
 
Karibu kwenye chama cha wastaafu mkuu.
Tumrudie muumba uzinzi/uasherati haulipi
Mkuu,
Unatakiwa kuwa na kamcheps kasikokuwa na gharama sana, yaani yeye 10,20,max.50 hana shida na anashukuru. Sasa mzee umeopoa mdada yeye 100k kwake ni minimum.

Utakufa, utaishi maisha magumu, hutakuwa na maendeleo, utaishia kuilaani dunia...
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Haya majuto haya ni Kwa kila mchepukaji.Ajabu nyege zikipanda unasahau[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kuhonga naamini ni ishara ya kukosa majukumu. Jitimizie majukumu yako binafsi na ndugu zako .. then fikiria mwanamke mmoja.

Changamoto inakuja nyege ikisha shuka chini unavunja miiko yote.

Tujitahidi ku control nyege
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 😥😥😥😥

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Najiona mimi!
 
Back
Top Bottom