uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10
Eeh Mungu nisaidie
Mungu akusaidie, Hauna uwezo wa kuacha dhambi mwenyewe, ila ukimshika Yesu sana utafanikiwa!
Najua watu wengi wanaosema wameokoka wameaibisha na watu kukata tamaa, ila ukiokoka ukasimama utamudu!
Mungu na akusaidie