Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

Heri wewe unaetambua kisicho na faida.
binafsi napoteza stamina kisa K. huwa najutia sana napokuwa weak kwenye mazoezi kisa ngono.

Kuna mwanangu alitumia mwezi mzima kuchakata mbususu kila siku mbona alianza kutembea kama zombie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo sio ya kufanyia sifa wakuu at least mara moja kwa wiki mbili si mbaya.
 
Self control ni ziro kabisa kwetu sisi, ukiweza kuvikamata vizuri hivi vitu vitatu yani love,sex,faith wewe umetoboa, hivi vitu ni hatari sana...sisi na ngono ni maji na samaki,akili zetu tunazijua wenyewe, ndio ile ya kusema kuwa ningeweka savings toka sekondari sasa hivi tayari ningalikuwa tajiri alaa wapi pesa mchepuko ashakula tayari ndo zinaanza "ninge", tena unatoa pesa na unatukanwa.
 
Unashindwa nini kumtumia mama laki1 na we ukaendelea na starehe zako??

Utapimwa kwa mzani unaopimia wengine
 
Vinatesa sana, na nivitamu sana 😃😀
Mi pombe ndo huwa inaniharibia mara nyingi,nikila tu pombe leo usiku kesho asubuhi simu inaita mara hivi,mara vile,mara sijui nani kafanya nini,yaani kila nikila pombe basi lazima kesho yake asubuhi nipokee simu ya matatizo..hapo achana na hasara mbalimbali za kupoteza simu,kuibiwa hela,kuumia...n.k
 
Bora umeshituka mzee, mabalaa mengine tunajitafutia.

Mie huwa naanza kuwaza mama yangu, mke wangu kisha wanangu, hapo bado nina mdugu wananitizama, toka nioe mpaka sasa sijachepuka(sio kwamba sitamani la hasha, kuna kitu nimegundua, wanaume haswa hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja[emoji23]) ila ndio inabidi nijikaze to the maximum, naiwaza hii laki moja nikimpa mama mzazi 50k waifu nikamganjia 30(haijalishi kkila kitu kipo ndani, lakini hii 30 nimafnyie chochote hata kama ni kumchukulia zawadi), halafu mama mkwe aliyenizalia huyu mtoto mzuri nikampa hata 20.

Sasa hii RESISTANCE kwa huyu ibilisi itadumu mpaka lini.. maana ninajikaza [emoji23][emoji1787]
Mimi kama mke hio ratio ya mgao naomba tuiriviu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya nyege kuisha ndo unajitafakari upyaaaaaa[emoji23][emoji23]..

Ukiwa mwanaume kuhonga n ishu isozuilika, unless uwe mpiga nyeto...

Cha msingi pangilia mambo yako. Kut.omba pia n muhimu wazee.
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana
Ungekua na hela ungeweza gawa vizuri tu mgawanyo mama angkua na chake, msiba ungechangia na starehe yako ingepata chochote kitu, tafuta hela ndugu, ila pia michepuko sio dili
 
Mimi kama mke hio ratio ya mgao naomba tuiriviu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna haja ya kurivyuu, sababu unakula na mahitaji yooote unapata, mama yangu hapo simpi kila siku na huu mgao sio kila siku, ni ile pesa extra ambayo nimetaka kuhonga, so kuliko kuhonga bora niigawe fifte fifte, mama mzazi 50%, wewe Katika fifte% yako unakula thate% mama mkwe nampoza na twenti pasenti [emoji23][emoji1787]
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
As soon as I cum , I come to senses.
 
Majuto yenye heri, Hakika malaya aka michepuko haina faida,tunza mkeo,wanao, wazazi wako,ndugu na Wahitaji utabarikiwa na MUNGU.
 
Man, you get to do what you get to do. Utapigwa stress na huyo mkeo utakuja kulia lia.
 
Back
Top Bottom