Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuchepuka mchepuke wenyewe, muhonge wenyewe na bado mlalamike!! Kizazi cha ajabu sana hiki.
 
Karibu kwenye chama cha wastaafu mkuu.
Tumrudie muumba uzinzi/uasherati haulipi
 
Hii yote inasababishwa kwa kuwa na mbavu ndogo!! Ungekuwa na mbavu nene unatekeleza majukumu yako vizuri kabisa. Hakuna upande utalalamika. Ongeza bidii katika kusaka noti
 
Karibu kwenye chama cha wastaafu mkuu.
Tumrudie muumba uzinzi/uasherati haulipi
Mkuu,
Unatakiwa kuwa na kamcheps kasikokuwa na gharama sana, yaani yeye 10,20,max.50 hana shida na anashukuru. Sasa mzee umeopoa mdada yeye 100k kwake ni minimum.

Utakufa, utaishi maisha magumu, hutakuwa na maendeleo, utaishia kuilaani dunia...
 
Haya majuto haya ni Kwa kila mchepukaji.Ajabu nyege zikipanda unasahau[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kuhonga naamini ni ishara ya kukosa majukumu. Jitimizie majukumu yako binafsi na ndugu zako .. then fikiria mwanamke mmoja.

Changamoto inakuja nyege ikisha shuka chini unavunja miiko yote.

Tujitahidi ku control nyege
 
Najiona mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…