Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10

Eeh Mungu nisaidie

Mungu akusaidie, Hauna uwezo wa kuacha dhambi mwenyewe, ila ukimshika Yesu sana utafanikiwa!

Najua watu wengi wanaosema wameokoka wameaibisha na watu kukata tamaa, ila ukiokoka ukasimama utamudu!

Mungu na akusaidie
 
Aiseh badilika sana usiwe kama fulani wa humu michepuko 6 sijui hua anatufunga kamba tu
 
Ila shimo acha leo tu umejuta ila Niko hap mskumbusho Kuna manzi kanyajnyuaa zigoo balaa nataka nakaitee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…