Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

Zing zing zing chanxxxxxxx

Morogoro wanawake wengi wanajiuza ni wakutoka dar. La sivyo ni wanafunzi.

Wanaume wengi hupenda mwanamke mshamba mshamba, lakini alas!! Wanawake wa mjini hujifanya washamba kuibia watu.

Hata wanawake wote duniani wakilala hapo chini huwezi kuwamaliza. Utapiga kimoja tu uanze kuzungusha macho.

Ningekuwa wewe ningehakikisha nafanya bidii kwenye masomo. Ningehakikisha kama ni lazima namtafuta wife hapo hapo chuoni.

Usiwe fundi Mbao ambaye kila Mbao anataka kupiga msumari.
 
Halafu hawazingui kama wa dar, mm nipo hapa Moro kikazi wiki sasa, yaani unajivutia tuu
 
Shauri yako! Kichwa cha chini kikiongoza cha juu hatima.yake huwa majanga! Moro pako rotten sana mkuu.
 
Huu uandishi hua wanatumia mabinti waliotoka kuvunja ungo na vivulana vinavyobalehe kwa kawaida hua MNA chunusi nzito kma kokoto mnanuka midomo na vikwapa vikali sana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
Kijana weka pazia hayo macho yako, kama umefuata mabibi sawa lakini kama masomo pata cheti kwanza!
 
Huu uandishi hua wanatumia mabinti waliotoka kuvunja ungo na vivulana vinavyobalehe kwa kawaida hua MNA chunusi nzito kma kokoto mnanuka midomo na vikwapa vikali sana
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndugu mkoa umekufanyaje mbona unaongea kwa chuki hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…