Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

Yani wee ndo ulichoona tu baada ya kufika moro?
Kama ng'ombe afikapo bwawani kunywa maji anadhani maji ya mbele zaidi ndo matamu anazidi kusogea mbele kumbe bwawa moja tu
Kumbe hahahahaha
 
Back
Top Bottom