Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΏ
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Sehemu ninazo enjoy ngono ni Tanga na Tabora, dodoma kidogo ukikamata kamjusi ka kirangi vile vinapatikana Area A (uswazi).
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ogopa Sana sehemu CCM ikiwa na nguvu umasikini na ujinga ni fashion!!! Hata kongwa ni hivyo hivyo
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Anza kujenga wewe hizo modern buildings uonyeshe mfano.
 
FuRsa za geita utaziona kwa macho ila kiuhalisia hazipo,mpaka umtoe kafara ndugu yako
Hayo mambo usiwaambie fresh Graduates waliosoma vitabu vya "rich dad poor dad" au "think and grow rich"πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa huwa una tabia kama za Mwajuma.
Unatumia hisia kuliko akili.
Embu stop being too emotional tizama facts.
Kwani nimesema kuwa Tabora haikui ama Tabora hakuna majengo mapya??
Nimezungumzia pull factors kijana.
Tabora tuelezee tu uhalisia hazina pull factors za kutosheleza kusema mji ukue kwa kasi inaotakikanika.
Ni kama ilivyo Dodoma ni kwasababu tu ni mji wa serikali ila kiuhalisia Dodoma kwa pull factors ni mji butu vile vile.
Morogoro kuna sababu vutishi nyingi za kimazingira na kiuchumi.
Hizo ni sababu vutishi kuu mbili za kuvutia watu kujazana katika mji na kuukuza mji.
Huwezi fananisha Tabora na Morogoro katika shughuli za utafutaji na mazingira mazuri never huwezi.
Uwe unaelewa uache kutumia hisia badala ya akili.
 
Ona ulivyo too emotional.
Unaambiwa kafanya kazi tangia 2020 na kahama Tabora september.
Au 2020 nayo ni zamani??
 
Wewe ni kajinga na kapuuzi,unataka Tabora ikue wakati haikuwa hata na miundombinu miaka na miaka? Nyie watu Huwa mnatumia akili za wapi? Tabora ilikuwa na Barabara 1 tuu nayi amejenga JK ya Tabora-Nzega.Kwingine kote ni mavumbi,ulitegemea Mji ukue vipi?

Dodoma unayoisemea wewe haikuwa na Barabara za kuunga Iringa & Arusha Wala haikuwa inapendelewa kama Dar na Arusha.

Kwa mazingira hayo ulitegemea Miji hiyo ikue na kufanana na Miji ambayo Ina miundombinu Toka enzi za Ukoloni kama Morogoro,Tanga,Arusha,Mbeya au Dar?

Hakuna Cha pull factors Wala ujinga ujinga mwingine.Miji yote hapa Tanzania inakua kutokana na msukumo wa Serikali ndio maana Dodoma imeshazipita Arusha, Morogoro,Mbeya,Tanga na Iko Mbioni Kupita Mwanza.
 
Nilienda mtwara mwaka jana nikawaambia wanipeleke beach kali kuliko zote nikapelekwa na boda boda kwenye ufukwe kuna ka-pub fulani kunanuka shombo ya samaki balaa, nikaagiza juice ya azam hawana wana tujuice twa watoto...

Nikasepa
πŸ˜… Bila shaka ndio kule maeneo ya kwa nkuu wa nkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…