Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Ona huyu falaaa.
KUtaja fursa za Moro kwani ndio inamaanisha mikoa mengine haina fursa???
HIyo Dodoma ni kwasababu ni mji wa kiserikali ndio maana unaendelezwa ila muulize mtu wa kibaigwa kati ya Mkundi na Kibaigwa wapi kuna fursa kuzidi?
HUjaambiwa kama Tabora hakuna fursa bali Tabora kuna potential finyu.
Maendeleo ya raia mmoja mmoja Morogoro ni mepesi kuliko Tabora.
Ndio maana miji yao hutanuka haraka.
Chanzo sio umeme peke yake au hizo barabara.
Embu fuatilia vijiji vya ndani kama Matombo,Mkuyuni,Kisaki,Mvuha hivyo ni vijiji vya ndani sana ila kulingana na huko kuna shughuli za kiuchumi na fursa nyepesi kumejengeka nyumba sawa na za Ipuli mjini.
Bimaana maendeleo yanaanza na wewe kabla ya serikali haijaja kukuwekea miundombinu wezeshi ya wewe kuendelea kusalia pale.
AU unataka kusema hadi nyumba za kulala WANAJENGA SERIKALI????
NAONGEA NA JITU SENGE HATA HALIELEWI.
BAKI NA UFALA WAKO
 
Hivyo unavyoita Vijiji vya ndani vilikuwa na reli ya Tazara,Kwa nini usitaje Vijiji choka mbaya vya huko Gairo,Kilosa na Mvomero ndani ndani?

Kwa taarifa Yako tuu hakuna Mkoa sijafika hapa Tanzania na maeneo mengi ya ndani ndani nayajua.

Nani aliyekudanganya kwamba Tabora Kuna potential finyu? Au wewe ndio una ufinyu wa akili za kuona fursa?

Narudia tena kukwambia hakuna Mji Tanznaia hii umekua au utakuwa bila Nguvu ya Serikali haupo.Ni.lazima Serikali ifanye uwekezaji wa makusudi Ili kufungua fursa.

Ndio maana baada ya kuifungua Mkoa wa Tabora Kwa Barabara kuu za lami Mji umeanza kukua sana tuu sawa na maeneo mengine ambayo yalikuwa hayana miundombinu ila baada ya kuwekwa yanafunguka kiuchumi.

View: https://youtu.be/QgySjTbWCGI?si=pDLSwCQagWiHegrB
So punguza ujinga,hakuna Mkoa wowote Tanzania hii una fursa finyu kuanzia Madini Hadi Ardhi ya Kilimo.
 
siwezi poteza bando lando langu kwa link ya kipumbavu bora nikaangalie hata singeli youtube
Kaangalie porno ndio Inafanana na akili zako.

Ukiangalia vitu vya msingi roho itakuuma maana ulivyotarajia ndivyo sivyo 😆😆
 
ARE YOU KIDDING ME??
MATOMBO,MKUYUNI NA KISAKI TAZARA IMETOKEA WAPI KIJANA??
HAKUNA RELI KULE WE JAMAA SIO TRC WALA TAZARA INAYOPITA HAYO MAENEO.HATA LAMI HAKUNA HAYO MAENEO NILOTAJA.
Kwa kusema tu Matombo,Mvuha,Kisaki,Mkuyuni kuna reli nishakutoa akili.
Sina mjadala na wewe unabisha bure hujatembea we jamaa.
Au niletee ushahidi wa hiyo reli ya TAZARA inayopita Matombo.
Kijana kijana bisha na uendelee kubisha.
Au labda nikuulize,ARUSHA NA MWANZA ZINAFANANA KWA POTENTIALS??
Ukiweza kujibu hilo swali nitaamini umekua kidogo.
 

Vipi mkuu habari za Dubai?
 
Kuna Mkoa hauna Vijiji vilivyochangamka ikiwemo Tabora ? Kisaki hakuna reli ya TAZARA?
 
Miji yenye idadi kubwa ya waislamu imetelekezwa, mbali na Dar 👇

Refer
Tanga
Tabora
Kigoma
Bagamoyo na pwani yote.
Singida ina afadhali
Bukoba
 
Kilosa ina reli ya TRC na hata reli ya umeme imepita Kilosa.
Mvomero kuna shughuli nyingi za kilimo labda hukufika unapasikia.
Gairo kuna uchimbaji mkubwa wa madini na uvunaji mkubwa wa mbao.
 
Kuna Mkoa hauna Vijiji vilivyochangamka ikiwemo Tabora ? Kisaki hakuna reli ya TAZARA?
Uchangamkaji wa Vijiji vya Morogoro usifananishe na wa vijiji vya Tabora.
Unaizungumzia hiyo reli ambayo ina ufanisi mdogo sana sawa na bure na inapita pembezoni mwa wilaya ya Kisaki??
Si bora hata reli ya kati inapita katikati ya vijiji vya Kilosa??
Huwezi kuwa serious.
 
Miji yenye idadi kubwa ya waislamu imetelekezwa, mbali na Dar 👇

Refer
Tanga
Tabora
Kigoma
Bagamoyo na pwani yote.
Singida ina afadhali
Bukoba
Bukoba sidhani kama kuna idadi kubwa ya waislam kaka.
Kule si naskia wakristo wengi?
 
Usifananishe na moro na vitu vya hovyo....Moro kuanzia hali ya hewa na ardhi yenye rutuba.mm ni msukuma lakini sehem nazo zipenda ni Mwanza,moro na dar mbeya nayo naikubali ila si kivile
 
Watoto wa mama kizimkazi mnatukanana sana bishaneni kwa hoja mbona mnazo wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…