ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wapi hakuna Ardhi yenye rutuba? Hali ya hewa ipi hiyo? Mbona Tabora Ina watu wengi kushinda Morogoro Kwa nini wasikimbilie huko Morogoro kwenye Hali ya hewa nzuri?Usifananishe na moro na vitu vya hovyo....Moro kuanzia hali ya hewa na ardhi yenye rutuba.mm ni msukuma lakini sehem nazo zipenda ni Mwanza,moro na dar mbeya nayo naikubali ila si kivile
Tabora inaendelea kukua Kwa Kasi kiuchumi acha stori za kuambiwa.Tabora ya saizi Iko 🔥🔥 sanaUchangamkaji wa Vijiji vya Morogoro usifananishe na wa vijiji vya Tabora.
Unaizungumzia hiyo reli ambayo ina ufanisi mdogo sana sawa na bure na inapita pembezoni mwa wilaya ya Kisaki??
Si bora hata reli ya kati inapita katikati ya vijiji vya Kilosa??
Huwezi kuwa serious.
Ukitoa Moro Mjini na Kidogo Wilaya ya Ifakara kwingine kote Bora na Uyui 😂😂Kilosa ina reli ya TRC na hata reli ya umeme imepita Kilosa.
Mvomero kuna shughuli nyingi za kilimo labda hukufika unapasikia.
Gairo kuna uchimbaji mkubwa wa madini na uvunaji mkubwa wa mbao.
Ila shinyanga napakubali aisee kwa utulivu na mpangiko wakeMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Kwa taarifa yako ukikaa hapo miezi mitatu hata kama umetokea Masaki hutatamani kurudi,kitu ambacho hujajua ni kwamba kila mahala hapa chini ya jua kuna uzuri wake unao vutia kuishi au kuendelea kuwepo,mji ni pamoja na mazingira na watu wake ktk hulka zao ,kaa hapo miezi mitatu Tabora uone kama utatamani kutoka, hutataka kujenga lakini utataka kuendelea kuishi hapoNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee umenivunja mbavuMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Haswa maana wakati wa kurudi nilisoma jengo moja la bodi ya korosho kusini.😅 Bila shaka ndio kule maeneo ya kwa nkuu wa nkoa
Watu wana maneno 😃Acha utani mkuu🤣🤣🤣.
Tabora najua inapiga hatua bro sijakataa.Tabora inaendelea kukua Kwa Kasi kiuchumi acha stori za kuambiwa.Tabora ya saizi Iko 🔥🔥 sana
Hamna kaka tembea kwingine kuko poa maeneo kama Kibwaya na Mvuha n.k n.k.Ukitoa Moro Mjini na Kidogo Wilaya ya Ifakara kwingine kote Bora na Uyui 😂😂
Nimechekaa sana Tabora si uongo imepoa sanaaNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Kariakoo kuna nyumba za udongo, zipo centre kabisa, mabati yameozaNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ndio bro kwa nisikiavyo mimi.Kumbe!
Huyu jamaa haijui Tabora.Acha uongo mkuu.
Tabora mjini kuna ghorofa nyingi kuliko jiji la Mbeya, Tanga na Mwanza na mji ni mkubwa kuliko Dodoma, Morogoro, Tunduma na Moshi
Acheni uongo ninyi watu.Mkuu huko tabora wenyeji wengi ni mamwinyi Sana na wanaendekeza Sana Imani za kishirikina ndio maana hakuna maendeleo
Dar es Salaam Mwarabu alipaa?Uarabu + Uislam baba..... Mahali alipopita Muarabu, akaacha uislamu, sawa na mtu alopita akaachia "USHUZI".....