Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio mbwembwe mkuu, unajua sisi wasomi tuko straight, kwahyo tuvumiliane.
Hahaaaaa mweeeh basi usomi wako haujakusaidia sasa hayo mashauzi gani yako hivo loh hata saikolojia ya kutongozea inakupiga chenga jamani, ujue wewe si msomi wa kwanza wako wengi tu.
 
Hili kabila halijui vocabulary ya love hata neon mapenzi hawajui. Ndiyo maana wengi wapo jeshini, ni mwendo wa amri tu.
 
msukuma unatutega hivihivi sio? njoo ukae kwangu hadi upate nyumba tuanzie hapo kwanza ndoa itajiseti tu yenyewe
Ujue mi nakukubali sana, kama hii fursa itakupita basi utakuwa unanisubiri mimi. Tambua kwamba mi bado nipo nipo kwanza, labda unishawishi saaaana.
 
Hahaaaaa mweeeh basi usomi wako haujakusaidia sasa hayo mashauzi gani yako hivo loh hata saikolojia ya kutongozea inakupiga chenga jamani, ujue wewe si msomi wa kwanza wako wengi tu.
...hujui kutaniwa
 
Hili kabila halijui vocabulary ya love hata neon mapenzi hawajui. Ndiyo maana wengi wapo jeshini, ni mwendo wa amri tu.
Ni kweli aisee maana hayo maelezo tu badala a hit point ya akitakacho ingekuwa mtihani angefeli huyu.
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    8.8 KB · Views: 26
Huyo anataka mwanamke wakuwa naye hapo hotelini na ndoa itaishia hapo
Mkuu acha kufyatua mitego ya watu waache waende pm bana wakishindwa siwatasema wenyewe!!.
 
Back
Top Bottom