Msukuma Msomi
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 173
- 149
- Thread starter
- #41
Mkuu acheni ku-divert mada yangu aisee...mambo ya ukabila na uanajeshi kuna majukwaa yake rasmi. Tuheshimiane bure. Mimi mbona nawaheshimu??Ni kweli aisee maana hayo maelezo tu badala a hit point ya akitakacho ingekuwa mtihani angefeli huyu.