Msukuma Msomi
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 173
- 149
- Thread starter
-
- #41
Mkuu acheni ku-divert mada yangu aisee...mambo ya ukabila na uanajeshi kuna majukwaa yake rasmi. Tuheshimiane bure. Mimi mbona nawaheshimu??Ni kweli aisee maana hayo maelezo tu badala a hit point ya akitakacho ingekuwa mtihani angefeli huyu.
Mkuu acha kutushushia heshima mbona mambo ya mapenzi tupo vizuriHili kabila halijui vocabulary ya love hata neon mapenzi hawajui. Ndiyo maana wengi wapo jeshini, ni mwendo wa amri tu.
Usihofu mpendwa.mmmhhh mi mweusiiiiii mkaaaaa daaah nimekosa chanceeee
Mkuu hayo mengineyo ni zaidi hit point utakacho au uende corner bar, au Africa sana utapata tu kiulaini.Mkuu acheni ku-divert mada yangu aisee...mambo ya ukabila na uanajeshi kuna majukwaa yake rasmi. Tuheshimiane bure. Mimi mbona nawaheshimu??
Hit point yangu ni maelezo niliyoandika kwenye thread. Ama unataka nisijibu comments za watu?Mkuu hayo mengineyo ni zaidi hit point utakacho au uende corner bar, au Africa sana utapata tu kiulaini.
Ni kampuni imelipa gharama kwa ajili ya kazi niliyotumwa huku Dar, hivyo nimepapenda na ndio nataka nikamilishe na swala la kuoa huku huku. Asante.Hotelini unafanya nini kwa muda wote huo kama si biasharamu za daslam
Mkuu acheni ku-divert mada yangu aisee...mambo ya ukabila na uanajeshi kuna majukwaa yake rasmi. Tuheshimiane bure. Mimi mbona nawaheshimu??
ahahaaa acheni wivu kasema anatafuta nyumba .atakaa kwa muda kwanguDah.... Ili siku akikorofisha umtupie begi lake nje[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
achana nao wana wivu hama hotelini njoo kwangu tutajuana mbele kwa mbele msukuma wanguNi kampuni imelipa gharama kwa ajili ya kazi niliyotumwa huku Dar, hivyo nimepapenda na ndio nataka nikamilishe na swala la kuoa huku huku. Asante.
Aise hadi umtukane mtu usiyemjua kisa kaja kutafuta mke, alishakuchukulia dada yako labda? Mana sielewi mhemko wa nini kwa mwanaume mwenzioHuo uchiz aisee umekosa wanawake huko uliko mpaka kwenye mitandao shenz type unajidharrsha tyu..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyo anataka mwanamke wakuwa naye hapo hotelini na ndoa itaishia hapo
mmmh leo naona wachumba wa kumwaga hapa nakuja pm na weweUjue mi nakukubali sana, kama hii fursa itakupita basi utakuwa unanisubiri mimi. Tambua kwamba mi bado nipo nipo kwanza, labda unishawishi saaaana.
Nimekutumia screenshot, inasema "error, this user do not allow....blah blah blah. Please PM meachana nao wana wivu hama hotelini njoo kwangu tutajuana mbele kwa mbele msukuma wangu
Dah.... Ni angalizo tu..... Siku akiomba visivyo ombeka? Utarudi unalia Lia Hapaahahaaa acheni wivu kasema anatafuta nyumba .atakaa kwa muda kwangu
Uzaifu wako mwingine ni Misifa'z camp..... Best luckySio mbwembwe mkuu, unajua sisi wasomi tuko straight, kwahyo tuvumiliane.
Oh....okay. Nilikuwa sijui!! nitafanyia kazi uzi wako mkuu.Mkuu hujajua jinsi ya kuwasoma wanawake,wengi ni sizitaki mbichi hizi,unayemuona anakupinga sana ujue ndio huyo ana interest na wewe,otherwise angepita bila ku comment,hujui tu mkaka anayeonekana amesoma,ana kazi yake,na yuko tayari kwa ndoa sio kuchezeana,tayari profile lako liko juuuuuuuuu kwa sie wanawake hhahahahahahhahah wewe anza ku PM wadada wote waliocomment kwenye hii topic yako hahahahahahahhhhhhhhhhaahahhahahahahhahhah
labda mods wana visa na mimi hawataki nipate mume hapa .nitafute hutojuta mkuuNimekutumia screenshot, inasema "error, this user do not allow....blah blah blah. Please PM me
Wewe naye mshakunaku tu na mpambe nuksi umejuaje watu hawazitaki mbichi, kisa Ku comment usipende kujirahisisha hivo na kujichekesha eti anayekupinga ana interest ua such a cheap ho.eMkuu hujajua jinsi ya kuwasoma wanawake,wengi ni sizitaki mbichi hizi,unayemuona anakupinga sana ujue ndio huyo ana interest na wewe,otherwise angepita bila ku comment,hujui tu mkaka anayeonekana amesoma,ana kazi yake,na yuko tayari kwa ndoa sio kuchezeana,tayari profile lako liko juuuuuuuuu kwa sie wanawake hhahahahahahhahah wewe anza ku PM wadada wote waliocomment kwenye hii topic yako hahahahahahahhhhhhhhhhaahahhahahahahhahhah