Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

"Leo nimenyimwa kitambulisho Cha Taifa kwa jina Langu la DON NALIMISON eti mpaka nioe TAKATAKA za Serikali na CCM. Mimi najitambua kuliko mitakataka ya CCM. Viongozi CCM wote Ni mbumbu wa kutupwa lakini wanavyojiona wa maana huku hawana Malinda NYUMA ya mapazia yao."

Don Kama don [emoji1787][emoji1787]
 
Tulia bangi iishe kwanza ndipo uandike upya! Usimtukane mamba kabla haujavuka mto! unasema jeshi ni dhaifu na bado upo nchini? Hasira hasara! Tulia ! Tafakari! Unataka ufanyiwe alichofanyiwa Amin?
 
Leo ndo ninaamini ule msemo kuwa kichaa huwa anawaona watu wazima ndo vichaa zaidi yake Yan kwa kifupi atakae jaribu kukushauri we utamuona kapagawa

ila bange nayo ina misingi yake ya kuvutwa kama unaivutia kwenye jua kali lazima ikuvuruge hivyo zingatia matumizi sahihi ya mmea
 
lakini kwenye tafiti za mirembe pombe imesababisha madhara zaidi ..na bangi haikutajwa popote.!
 
Hata mimi vyeti havinisaidii kwa lolote ningekua na kipaji kama chako ningevichanachana
 
Wewe si mzima kabisa, una pepo.
 
Matumizi ya kondomu kwa watu waliopevuka Ni muhimu Sana,Kuna Wakati unaweza pata kiumbe ambacho waweza jutia kwanini siku hiyo hukutumia kondomu!!!

Hongera Sana mkuu kwa kuchana vyeti!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…