Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

Nadhani hapa ndio tunapoona ubaya wa kupaka mate wakati wakugonoka.. ona huyu sasa.
 
We jamaa Dj DON NALIMISON kila siku siku una nyuzi mpya zisizoeleweka hebu weka picha yahivyo vyet ulivyochana tuamini
 
Don usitumie maneno ya kuudhi kwa wanajeshi. Sio watu wazuri watakunyoosha. Vyenye walimfanya kijana wangu cocastic mpaka leo hawasahau
Mimi sio mpumbavu, najua mbinu zote za kijeshi na kanuni zote za Majeshi. Sibabaishwi. Tena wanikome maana Kuna uovu mkubwa Sana wamenifanyia Hawa wanajeshi. Nawasubiri kwenye Kona ICC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…