Mkuu nataka nipige mfululizo mwezi mzima alafu hapo sasa ndo naanza kupumzika Siku moja au mbili kwa wiki mkuu saivi nina wiki mbili mfululizo nimepiga tizi sijawahi kupoga min qabli aisee tamtamMzee baba, ila uwe unapumzika weekend japo siku moja au mbili, alafu j3 - ijumaa full zoez
Mimi thithemi xaxa.πππthema nipatw thikia
Mkuu usivae nguo za kubana sana vaa za kujiachia wewe madam Aloo[emoji4][emoji4][emoji4]thema nipatw thikia
Mkuu usivae nguo za kubana sana vaa za kujiachia wewe madam Aloo
Mkuu usivae nguo za kubana sana vaa za kujiachia wewe madam Aloo
Ok sawa.[emoji23][emoji39][emoji39][emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] ww haujielewi..wap.nimesema nimevaa nguo za kubana...ina maana hujawah sikia mtu akikimbia mwili unaanza kuwasha??lol..mie sivai za kubana bwana
Mimi thithemi xaxa.
Ok sawa.[emoji11][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji39][emoji39][emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] ww haujielewi..wap.nimesema nimevaa nguo za kubana...ina maana hujawah sikia mtu akikimbia mwili unaanza kuwasha??lol..mie sivai za kubana bwana
Wewe wathema, nipo.Natumai mishe zinaenda vizuri.xaxa ww unapotea xana mxhikaji..duh..nan kakuficha?
Wewe wathema, nipo.Natumai mishe zinaenda vizuri.
Mimi napenda kuthoma dhaidi.
Pamoja, nitakua nakupa heshima zako mwalimu, ikibidi kila nikuonapo.Aya mkuu
Pamoja, nitakua nakupa heshima zako mwalimu, ikibidi kila nikuonapo.
hahahahahaha, salamu.Usishtuke dada yangu.eshima ya nn mkuu tena?
hahahahahaha, salamu.Usishtuke dada yangu.
Sawa?Usihofu.
Kweli dada, na siunajua fimbo ya mbali haiui nyoka? π π πAya..ila kumbuka mkono mtupu aulambwi
Kweli dada, na siunajua fimbo ya mbali haiui nyoka? π π π
Ama kweli baniani mbaya kiatu chake dawa π π ππππππππππ kweli akufukuzaye akwambii toka
Ama kweli baniani mbaya kiatu chake dawa π π π
Acha kunipaka matope kwa mgongo wa chupa π π ππππππ..una mkono wa "bilika"ww