Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Mzee baba, ila uwe unapumzika weekend japo siku moja au mbili, alafu j3 - ijumaa full zoez
Mkuu nataka nipige mfululizo mwezi mzima alafu hapo sasa ndo naanza kupumzika Siku moja au mbili kwa wiki mkuu saivi nina wiki mbili mfululizo nimepiga tizi sijawahi kupoga min qabli aisee tamtam
 
[emoji23][emoji39][emoji39][emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] ww haujielewi..wap.nimesema nimevaa nguo za kubana...ina maana hujawah sikia mtu akikimbia mwili unaanza kuwasha??lol..mie sivai za kubana bwana
Ok sawa.[emoji11][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Back
Top Bottom