TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu awape wepesi sote njia yetu moja.
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole sana. Msiba hauzoeleki na najua utamlilia baba kwa muda mrefu sana, lakini tuko pamoja. Na Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani
 
Back
Top Bottom