TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Pole pia Mzee Mungu ampuzishe kwa amani amsamehe mazambi yoote aliyoyafanya
Sisi sote wapitaji tuu
Kila nafsi itaonja umauti

Bwana ametoa na ametwaaa
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole ndugu
 
Pole sana Mkuu
 
INNAH LILLAH WAINNA ILLAHI RAJIUN.
POLENI SANA KWA MSIBA WA BABA YENU. MWENYEZI MUNGU AWAPE NGUVU NA SUBIRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU. MWENYEZI MUNGU AMPOKEE MJA WAKE KWA HURUMA.
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole sana mkuu mimi pia nauguza Mzee wangu, ila bado namwamini Mungu
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.

Poleeeee sana kaka
 
Back
Top Bottom