TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi


Pole sana
 
Pole sana kwa msiba ndg

Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Sin
 

Oooh pole sana my bro
Mungu awape imani na amani kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu,mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kidumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…