Nimefuatilia Soka Tanzania tangu 1980s sijaona kama Chama

Chama wakawaida sana!! Bongo hii kuna Raia alimzidi Lunyamila tu hapo sijamtaja Said Mwamba Kizota
 
Wahi Mirembe hujachelewa sana!
 
Chama ana akili nyingi sana ya mpira.
 
Naamini hata wewe huamini Chama ni mchezaji bora wa wakati wote katika historia ya mpira Tanzania!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na heshima yangu kwako mtoa hoja,kwa hili kwangu its a NO,kunifananishia Chama na legends kama Kizota, Marsha huu ni utopolo, Chama hamfikii hata kwa 40%ya Hamis Gaga (kama ni kijana wa dot.com hujawahi kumwona uwanjani,pole na I can't help kwa hili )hii Tanzania ilikuwa super, Chama dola kimevuruga mambo mengi sana nchi hii na kutuletea wakata viuno na wabana pua, watoboa pua (ME, why utoboe pua?)
 
Nonda unaweza mlinganisha na Samatta!?
 
Nonda alifanya makubwa akiwa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…