Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Chama hamfikii hata robo Chibe Chibindu [emoji28]
Wahi Mirembe hujachelewa sana!Siku hizi sio mpenzi sana wa soka Tanzania. Niliwafahamu kwa kusikiliza RTD, kusoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo, na Mfanyakazi la mwandishi James Nhende aliyepigwa na Zamoyoni Mogella kwa madai ya kumuandika vibaya.
Walikuwepo viungo wa maana kama Charles Boniface Mkwasa (Master), Nico Njohole (Mapafu ya Mbwa), Hussein Ngulungu, Said Mwamba (Kizota), Ramadhan Lenny, Athumani China, nk.
Kutoka enzi za hao niliowataja hapa, sijawahi kuona kiungo mwenye akili kama Clatous Chota Chama (Mwamba wa Lusaka). Goli alilofunga leo dhidi ya Vipers, ni yeye pekee katika Tanzania anayeweza kufunga katika mazingira ya namna ile, wengine wangekuwa na papara ya kupiga ama cross au shuti kali kipa apambane nalo, lkn Chama akatulia na kumgeuza beki wa Vipers na kisha kumuangalia kipa na kumfunga kirahisi.
Chama ana akili sana ya mpira, tatizo lake [weakness] ni kutokuwa na haraka, yawezekana pia hawezi kucheza kwa haraka na makocha wengine hawawezi kuvumilia hilo, lakini hiyo kwa kuwa matokeo yake ni chanya inabidi tu makocha hata wasiopenda kasi yake wamkubali tu hivyohivyo. Kwa upande wangutangu nianze kufuatilia soka letu, sijaona kama Chama.
Vv
Chama anawafaa Ngada FCNaona utopolo wanamwaga mate na mapovu hapo juu tuliambiwa chama hata kwa aziza funguo haingii
Kisinda bado yupo berkene mpaka leo anaumwaga mwingiReject ya Berkene ni mfalme wa Simba. Mmecheza na timu ambayo ndani ya game 7 hawajaweza kufunga goli lolote. Timu pale hakuna.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sisi kibonde wetu ni simbaTimu reject zipo shirikisho , timu iliyopo champions lazima uiheshimu. Je vipers ni vibonde pia kwenu?
Ona huyu mbwigaMpaka hapa vipers ana rank kubwa kuliko utopolo,licha ya kufanya vibaya msimu huu CAFCL
Mngekutana na kikosi kile cha vipers (kabla ya kuuza nyota wake)mngekalia za kutosha. Hiki kikosi kibovu cha Vipers kilichowatoa ulimi nje hakifunga bao lolote ndani ya game 7.uyo haelewi uwe unamfundisha kwa mifano.[emoji116]View attachment 2541027
Naamini hata wewe huamini Chama ni mchezaji bora wa wakati wote katika historia ya mpira Tanzania!Wakati mwingine muwe mnaweka ushabiki pembeni na ku-judge mambo kwa uhalisia. Kwani Chama amewafunga Vipers tu kwenye CAFCL tangu aje Simba? Vipi Nkana Red Devils na wengine (aliowafunga misimu kadhaa nyuma) nao walikuwa vibonde? Yale magoli yake ya visigino, ambayo Aziz hajayafunga hapa nchini hujawahi kuyaona?
Ukimwona mwanaume anaanza sentensi na eti, kuna shida mahali.Et naskia Mayele ni Reject ya As vita
Kama ile dar cityUkitaka kimjua Chama Simba icheze na timu mbovu
Hayohayo waliyokubutua.Walinibutua kwenye mashindano gani labda ebu nieleze
Nonda unaweza mlinganisha na Samatta!?Huenda ulikuwa ulikuwa unafuatilia kitu usichokielewa. Akina Nonda wamecheza hapo Yanga mpaka club bingwa Ulaya wanafananishwa na reject ya Berkene. Kiuhalisia Chama hafiki nusu ya akina Said Mwamba au Dua Said.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app