Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

ulionekana pimbi tu ndio maana ukatumwa .afu boss hanuniwi ,je ungeenda ungekatika mikono haya sasa nenda na tetron yako kauze hivyo vitumbua
 
Hiyo inaitwa 'gross misconduct', ulistahili adhabu. Ulitaka boss aache kazi ndie aende? Uliandikiwa kazi ni pamoja na utakazopangiwa, mbona umejusahau? Kusa utanashati, utaonekana huna hela ya burger unakula vitumbua? Pole!
 
Aaah achana nae mimi nakuunga mkono kwa huo msimamo Bora Hata angekuagiza vya buku, maana vya mia tisa afu uanze kusubiri na hio chenji sh mia, afu mtu umevaa tetroni yako na jua likuwakie ufe bure.
😂 😂 😂
 
Mbona hilo dogo na linavumilika, mabosi wengine wanaomba tigo kwa wafanyakazi wao wa kike na wanajua ni mke wa mtu na ukikataa kazi huna, sasa wewe umetumwa vitumbua tu unavimba
Wanatoa kwa kutaka wenyewe, taratibu za kuwakamatisha si zipo kisheria
 
Kuna mada nyingine mnatunga ili mje kupata attention hapa jukwaani, mwisho wa siku unaonekana mshamba

Maxence popote ulipo kwa sasa hizi senior member na expert member itapendeza kama mtu atapata kwa kulipia au kwa content anazoshusha hapa jukwaani!
Nyuzi za maana huwa hazipati wachangiaji
 
Kama kazi yako ni utarishi then ni lazima ukanunue

mid not sure lazima , tumia hiyo barua upate haki
 
Na vitumbua venyewe vilikuwa vidogo na havina mafuta, Safi sana tena itabidi upike vyako ujipitishe akuone kabsa ili ajue upo serious
 
Mbona hilo dogo na linavumilika, mabosi wengine wanaomba tigo kwa wafanyakazi wao wa kike na wanajua ni mke wa mtu na ukikataa kazi huna, sasa wewe umetumwa vitumbua tu unavimba
Na wanatoa tu.. kwani sh ngapi? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
We jamaa tustori utu unatukuta wapi?kana funzo kubwa sana,ila kwa mtu mwenye utimamu hawa mabosi uchwara ni ku ignore tu.mi natupa respect kisha nabana kona niona kanavyovimba, it's matter of few days focus to your goal just for sacrifices of your future.
 
Aaah achana nae mimi nakuunga mkono kwa huo msimamo Bora Hata angekuagiza vya buku, maana vya mia tisa afu uanze kusubiri na hio chenji sh mia, afu mtu umevaa tetroni yako na jua likuwakie ufe bure.
oya una Degree ya PHD eeeh mbona kama umeongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Endelea kula jeuri yako sasa..
 
Kazi gani hiyo boss anakula vitumbua vya mia mia ofisini???je wafanyakazi wa chini watakula Nini????
 
Kuna kile kipengele cha mwisho kwenye job description kinasema ...na majukumu mengine utakayopangiwa na boss wako.
Kama unakikumbuka hicho kipengele ulitakiwa utekeleze kwanza then ndio baadae uhoji busara ya hali ya juu sana ilihitajika.
 
Hukua na umuhimu kazini kwako ndio maana imekua rahisi kufukuzwa
 
Masikini jeuri ni msemo tu, huwezi kuwa masikini ukawa mjeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…