Mzee mwenzangu umemaliza acha aje jeiefu tujiliwaze akikaa vibaya anaweza fikiria kununua km asokote kitanzi ajitundike mtini life fack all of us each and everyday, Restless Hustler haupo peke ako mkuu waliofukuzwa wapo wengi humu
Kama Kila siku mambo yananyooka tu hutokuja kufahamu ukweli wa vitu Fulani, wakati mwingine baya huja ili kufunua mambo, keep going hakuna wa kukusaidia zaidi ya maarifa yako...pole sana.