mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hivi Tate Mkuu upo Dar?Karibu sasa mtaani tupambane. Siku zote Walimwengu ndivyo walivyo. Watakupenda ukiwa na kitu. Siku ukiwa huna hicho kitu, watakukimbia na kukuacha peke yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Tate Mkuu upo Dar?Karibu sasa mtaani tupambane. Siku zote Walimwengu ndivyo walivyo. Watakupenda ukiwa na kitu. Siku ukiwa huna hicho kitu, watakukimbia na kukuacha peke yako.
Hiko ndo nilichokifanya.Tafuta kazi nyingine ila wasikusogelee.
Usijali utapata Kazi nyingine hapo Mungu anataka kukuonesha Nani mtu kwao na Nani sio MTU.calm downKazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!
Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.
Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
wanakuona utawaomba hela, dah maisha hayaKazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!
Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.
Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Hapana namtetea yalinipataga haya ni leo tu nimemkataza mdogo wangu kufika kwangu.Yangu yalitokana na maradhi ya ghafla na baadae walikula kila fedha iliyotolewa kazini kwa ajili yangu.Yanatukea haya.ILA AWAFUKUZE MAANA HAWANAGA SONI.Hiko ndo nilichokifanya.
Nachokifanya sasa.
Yaani sitaki mazoea kabisa.
Halafu hawana aibu ukisharudi kwenye ramani bila haya wala aibu wanajirudisha kama hakuna kilichotokea.
Bora sasa wakukatae kimya au wajitenge nawe kimya ila wanageuka na kuwa maadui kabisa yaani.
Yaani mie sahivi ni mkavu hata nikiwa na million mtu aliyenikataa kwenye dhiki zangu na kaiona million hapo hata 5,000 simpi.
Ndugu mleta mada kwa sasa kubali kila kitu kubali kudhalilishwa, kufedheheshwa, kuonekana hufai lakini utainuka upya, utakuwa sawa.
Na ukiinuka sasa usikubali kurudi tena chini.
Ila pamoja na yote mbona yametokea ghafla ndani ya wiki moja?
Au ulifanya ujambazi ofisini?
Hii sentensi ya mwisho ni kwa watu ambao tayari wamezaliwa na kuzikuta so wanafanya kuongezea tu.Man ndio ukubwa huo, umeshawahi ona kivuli gizani. Jibu hapana kivuli uonekana juani. Tafsiri yake ukiwa na pesa tegemea ndugu, marafiki na majamaa kuwa wengi hao ndio kivuli au nzi. Ukikosa pesa wote wanapotea hii ni nature ya mwanadamu. Hata wwe ukipata pesa utawasahau marafiki mliosota nao utatafuta marafiki wapya.
Maisha hayana formula we ishi jinsi yajavyo. Unaweza ukajibana Sana ukajinyima Sana ukaishia kuwa masikini na unaweza ukala Sana bata na ukaishia kuwa tajiri.
Iliwahi kunitokea hii nilikaaa mwaka mzma bila Kazi Mungu bariki nikapata Kazi wakaanza kujipendekeza tenaKazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!
Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.
Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Usijali huku jeiefu hautatengwa.
Nipo Lushoto milimani huku mkurugenzi! Karibu tulime ngogwe.Hivi Tate Mkuu upo Dar?
Nadhani Kuna kizuri zaidi ya hiyo kazi kimeandaliwa Kwa ajili Yako, Sasa wajue kwanza masnich kabla hakijafika. "Nothings permanent, even problems" Charlie chaplinKazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!