Nimefukuzwa kazi, nimetengwa na Ndugu, jamaa na marafiki!

Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!

Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.

Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Kama ulikuwa na akiba yako ya pesa tuwasiliane nikupe mchongo muda mfupi tu wataanza kuamkia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!

Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.

Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Hii story mbona kama vile Haina mashiko? Week moja TU yameshatokea yote hayo? Ndugu na marafiki wameshakutenga, kanisani wamekuondosha kwenye uongozi. Kama tukio limetokea week iliyopita, lini umeitwa kwenye disciplinary committee? Au tuseme ni kosa kubwa kiasi kwamba ilibidi uwe fired instantly, kwahiyo nani alitangaza? Anyway, najaribu kuunganisha muda vs matukio nakosa logical flow. Pole All will be well
 
Usijali huku jeiefu hautatengwa.
Ndio hapo sasa. Mtu ufukuzwe kazi hapo hapo watu wakutenge? Si nyie mnasemaga kila mtu na maisha yake? Mtu hata akikusahauri badala ya kuheshimu ushauri( hata kama hutaufata) unamjibu kwa jeuri kwamba its my life , me and I. Sasa yakienda kombo unataka walie na wewe?

Maisha tunategemeana. Yakikunyokea acha dharau, hata kama humsaidii mtu basi usipende kuwatweza watu kwa vimaneno vya shombo.

Hakuna aliyemtenga huyu jamaa sema yeye anajitenga kifikra.
 
Mkuu,
Kutengwa maana yake unapewa nafasi ya kufocus kwenye changamoto zako. Ukishamaliza kupambana na hali yako watarudi. Kingine katika kipindi unchopitia huhitaji kuzungukwa na watu ambao hawana maslahi na wewe. So focus on yourself na ujifunze
 
Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!

Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.

Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Kama umefukuzwa kwa scandal ya ngono, au rushwa au wizi ulitaka kanisa liendelee kukuamini mkuu? Acha kanisa lijitenge na uovu mkuu. Subiri Mungu akutakase.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!

Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.

Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Sasa huo ndo muda mzuri wa chujio.

Kama uliipata ya mwanzo basi hata hiyo nyingine utaipata tu. Ukiipata kula buyu funga vioo kila mtu ashinde mechi zake. Ndugu wanakuwaga faken sana. Ukishapata wanaanza kujirudisha unawapa makavu tu.
 
Pumzika sasa!! Ila nafasi bado unayo maisha ni mzunguko leo uko hapa kesho pale.. Mungu atakufungulia njia nyingine hata mimi japo sijakufukuzwa ila nataka kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na hpa watu walewale daily sipendelei.
 
Saving ni ndugu pekee ambaye hawezi kukukimbia, ungekuwa na vihela vyako umeweka usinge dhalilika hivyo-ungeweza kuanza kutafuta cha kufanya.

Tujitahidi kuweka akiba, tukiwa na kazi.
 
Ndio hapo sasa. Mtu ufukuzwe kazi hapo hapo watu wakutenge? Si nyie mnasemaga kila mtu na maisha yake? Mtu hata akikusahauri badala ya kuheshimu ushauri( hata kama hutaufata) unamjibu kwa jeuri kwamba its my life , me and I. Sasa yakienda kombo unataka walie na wewe?

Maisha tunategemeana. Yakikunyokea acha dharau, hata kama humsaidii mtu basi usipende kuwatweza watu kwa vimaneno vya shombo.

Hakuna aliyemtenga huyu jamaa sema yeye anajitenga kifikra.
Kuna baadhi ya makabila ukiishia uundugu anaishia hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bro Mshkuru sana Mungu, hiki ndio kipindi kigumu lakini kizuri sana kujitafakari wewe ni nani na wanaokuzunguka! Yaani wewe waache wajichuje wenyewe, mwisho wa siku utabaki na watu wenye upendo wa kweli na hao ndio marafiki na ndugu sahihi kwako.

Kuhusu kazi, wala usifadhaike au kuumia, unachotakiwa kujua ni kua kila kazi ina mwisho wake, unaweza kuwa mwisho mzuri au mbaya ila yote kwa yote ni Mwisho tu So vumilia ingawa inavuruga akili, unachotakiwa kubaki nacho kichwani ni kitu kimoja tu UHAI ndio kila kitu, mengine sijui elimu, mapenzi, kazi na makorokoro mengine yanakuja kusupport huo UHAI tu.. na amini kwamba hutokufa eti kwakua hauna kazi, Maisha yanasiri kubwa! Jipange upya, angalia mbali na Academic certificate unaujuzi gani unaweza kukusaidia wakati unajipanga na ajira mpya ingawa mimi mawazo yangu naonaga ajira ya kwanza ikiisha waza kujiajiri zaidi.

Kuhusu Kanisani:: Aisee, mimi nina miaka kama 7 hivi sijakanyaga church, Watu wa Church ni watu wazuri sana lakini pia ni watu wabaya sana, sometimes bora ukae Na kampani ya Bar mnaweza kusaidiana mambo na yakaenda kuliko hao wa church! Sikushauri uache kuwa nao, ila unatakiwa ujue pia hao ni Binadamu kama Binadamu wengine ambao hatuabudu pamoja, so kazi kwako!
 
Hahaha...hao ndo wanadamu kaka mtu kitu
Pole sana sana sana ,hapo ndo utajua rafiki wa kweli na adui
 
Hii story mbona kama vile Haina mashiko? Week moja TU yameshatokea yote hayo? Ndugu na marafiki wameshakutenga, kanisani wamekuondosha kwenye uongozi. Kama tukio limetokea week iliyopita, lini umeitwa kwenye disciplinary committee? Au tuseme ni kosa kubwa kiasi kwamba ilibidi uwe fired instantly, kwahio nani alitangaza? Anyway, najaribu kuunganisha muda vs matukio nakosa logical flow. Pole All will be well
Na badala achukue time ya kukaa mwenyewe kujitafuta, anaanza root za kuzurura kwa ndugu.
 
People change, Things change but you know what else....Life goes On......Stay strong!
 
Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini!

Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki. Hawapokei simu na nikiwatembelea hawanionyeshi ushirikiano ule wa mwanzo.

Niliowapenda na kuwajali Sasa hawapo upande wangu. Nahisi nipo shimoni! Hata kanisani wameninyang'anya nafasi ya uongozi, wakampa Mwenye kazi. I am tired of this fucking life.
Ttry to be positive don't blem anybody. Focus kwenye kujikwamuwa hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom