Duniani Kuna mengi sana,,Mimi nakumbuka nilitoka Home vijijini kuelekea Mwanza Kwa ajili ya utafutaji, na nilipanga kufikia Kwa brother,,,,Sina simu ila Nina Namba mkononi. KUFIKA Mwanza nampigia hapatikani,,,Tafuta Hadi maeneo ya kazini kwake wakaniambia amahamia Bugarika.
Nilienda Bugarika namuulizia hayupo,,, daaaaah ndio saa MBILI usiku Sina pa kwenda,,,,niliingia na begi langu kwenye Pagare Fulani hv nikaangalia mazingira nikaona ok Leo nauweka hapa,,,,,ahahahaaha ila,,,,,Acheni Mungu aitwe Mungu nilisaidiwa na mtu ambaye hata simjui,,,,bro ningekuwa Dom ningekusaidia!!!!,[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]